Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015
Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)
Gwiji wa muziki Afrika, Bi Dorothy Masuka akiimba pamoja na Mtanzania, Sauda Simba wakati wa shoo hiyo..
Bi. Dorothy Masuka akiimba huku akisikilizia ala za gitaa kutoka kwa mpga gitaa wake..
Picha ya juu na chini wakiaga mashabiki…
..Wakiaga...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015
Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka kutoka Afrika Kusini ambaye pia anatamba na wimbo wa ‘Hapo zamani’ usiku wa Julai 19 ameweza kukonga nyoyo za wadau wa...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Dorothy Masuka kuja ZIFF
Mwimbaji gwiji wa nyimbo zilizowakera wazungu wakati wa ubaguzi Afrika ya Kusini Dorothy Masuka anatarajiwa kuzuru Tanzania akiwa mgeni wa tamasha la Nchi za Jahazi ZIFF. Mwimbaji huyo anatarajiwa kutuwa Zanzibar tarehe 17 Julai tayari kwa ufunguzi wa Tamasha la ZIFF litakaloanza tarehe 18 Julai.
“Ni furaha ilioje kwa Mama Dorothy Masuka kukubali kuja ZIFF. Hii inatudhihirishia wazi umuhimu anaoweka katika sanaa na uwezo wa sanaa katika kuisanifu jamii”, alisema Mkurugenzi wa ZIFF Profesa...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0397.jpg)
RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WANZIBARI TAMASHA LA ZIFF
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Ady Batista wa “The Thorn Of The Rose” akonga nyoyo za wapenzi wa sinema tamasha la ZIFF 2014
ADY de Batista (30).
ADY de Batista akisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta mara baada ya kuwasili kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
ADY de Batista alishuka taratibu katika gari la Noah, akiwa amevalia nguo nyeupe.Alisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta na kuingia katika ukumbi wa maonesho ya sinema wa wazi uliopo Ngome Kongwe kwa ajili ya sinema yake ya O...
11 years ago
Michuzi21 Jun
RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA REGGAE KATIKA TAMASHA LA ZIFF 2014
![DSC_0397](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/UEFQpnVXBmPAoOQCeMNYTOVlx235ECv9OEWUFhkzBgOHPv0sNsuPMhqiUkl0xJDMJNJQdai8S4M1BlgiLbHZ4rpwGzvt17ekNbJNP291HhJFPw=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0397.jpg)
![DSC_0438](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Aj1rvhw5jWLcTaxoW_MMpMLgoe9PpQvHU6rqV_NG3Tsli330ftRaEl3jfruq-jXGcRrCgF11Odks3pOQ6mmJIJ7whyeFQ3aPiZ7n03WoP26ydQ=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0438.jpg)
![DSC_0461](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/xNek0aphFu6lqooka1vFvNPYJ8jlBIQzBqbYYg3k1q7w6cyhbYVP67bi7mEu1Opkv6apbypRtF8VDyQaG-EBlX2KxViwQY_I9ZTFcn61pY218g=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0461.jpg)
MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu...
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Siku ya Afrika Kusini kunogeshwa ndani ya tamasha la ZIFF usiku wa leo
Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani wakati wa ufunguzi wa tamasha la 18, la ZIFF 2015, katika jukwaa la Ngome Kongwe… Bi Masuka anatarajia kutumbuiza usiku wa leo ambao ni maalum kwa Taifa la Afrika Kusini (South Africa day).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Today is South Africa Day at #ZIFF2015 catch a range of South African movies including Uthando and Sarafina! (film) at the Old Fort with Guest of Honour Leleti Khumalo...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Ya Moto band, Orijino Komedi wafanya kweli tamasha la ZIFF 2015
Wanamuziki wa bendi ya Ya Moto wakishambulia jukwaa usiku huo…
Na Andrew Chale, modewjiblog
(ZANZIBAR) Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini, YAMOTO BAND lenye maskani yake Temeke Jijini Dar es Salaam na kundi la vichekesho la Orijino Komedi ‘OK’ usiku wa Julai 21 wameweza kukonga nyoyo za wadau wa burudani waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la 18, la kimataifa la filamu za nchi za Majahazi (Zanzibar International Films Festival-ZIFF) linaloendelea visiwani hapa.
Katika shoo hiyo...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Doroth Masuka: Wasanii wa Afrika tujivunie Afrika yetu
NA FESTO POLEA
MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Afrika Kusini, Dorothi Masuka, amewataka wasanii wanaotoka nchi za Afrika wasisahau kusifia bara lao la Afrika kwa kutaja majina ya nchi wanazotoka tu.
Mkongwe huyo aliliambia MTANZANIA kwamba, wasanii wengi huwa wanatumia muda mwingi kutangaza majina ya nchi zao wanasahau kuitangaza Afrika ili kuimarisha mshikamano wa umoja na utaifa wao.
“Ukiwa Afrika unatakiwa kujivunia na kujitangaza sisi sote ni wasanii kutoka Afrika, kwanini huwa hatujinadi...
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Filamu ya “I Shot Bi Kidude” kuonyeshwa tamasha la Ziff 2015 Jumapili hii ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar
‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’
Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web
‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”
‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’.
Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF
Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya...