Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA REGGAE KATIKA TAMASHA LA ZIFF 2014

DSC_0397 Mkali wa muziki wa reggae nchini, Ras Innocent Nyanyagwa na bendi yake wakitumbuiza kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
DSC_0438 DSC_0461 Ras Inno akiwapa mzuka mashabiki wake kwa kuruka na wamasai ndani ya Ngome Kongwe alipotoa show ya aina yake baada ya kuhudhuria tamasha la ZIFF miaka minane iliyopita. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WANZIBARI TAMASHA LA ZIFF

Mkali wa muziki wa rege nchini, Innocent Nyanyagwa na bendi yake wakitumbuiza kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. Akijibu swali kuhusu mahadhi ya muziki wake na imani yake ya kirastafarian amesema kwamba muziki wa rege japo upo ndani ya imani ya kirasta, unasimama wenyewe ndio maana mtu kama yeye hapigi rege ya Jamaica kama ilivyokuwa kwa Jimmy Clief, Burning...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ady Batista wa “The Thorn Of The Rose” akonga nyoyo za wapenzi wa sinema tamasha la ZIFF 2014

DSC_0128

 

ADY  de Batista (30).

DSC_0154

ADY  de Batista akisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta mara baada ya kuwasili kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

ADY  de Batista alishuka taratibu katika gari la Noah, akiwa amevalia nguo nyeupe.Alisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta na kuingia katika ukumbi wa maonesho ya sinema wa wazi uliopo Ngome Kongwe kwa ajili ya sinema yake ya O...

 

11 years ago

Dewji Blog

Innocent Nganyagwa kutumbuiza tamasha la ZIFF 2014 usiku huu ndani ya ukumbi wa Mambo Club, Ngome Kongwe

DSC_0276

Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.Kushoto Mtaalamu wa masuala ya habari  ZIFF, Bw. Dave Ojay.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0094

Baadhi ya wageni mbalimbali na waandishi wa habari wanaohuduria tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea kutimua vumbi visiwani Zanzibar.

Na. Mwandishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Hiki ndicho alichokifanya Ras Inno kwenye tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar

Na. Mwandishi wetu, Zanzibar

MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu  muziki huo.

Filamu hiyo ambayo itabeba maisha yake ya kuishi katika muziki wa rege inatolewa kama ile ya Jimmy Clief The hader they Come.

Nganyagwa mwenye albamu nne na tuzo tano za hapa nyumbani alisema pamoja na kukaa kimya kwa muda mrefu alikuwa hajaondoka katika muziki wa rege lakini alikuwa anafundisha vijana ili rege...

 

10 years ago

Vijimambo

Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015

Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)Gwiji wa muziki Afrika, Bi Dorothy Masuka akiimba pamoja na Mtanzania, Sauda Simba wakati wa shoo hiyo..Bi. Dorothy Masuka akiimba huku akisikilizia ala za gitaa kutoka kwa mpga gitaa wake..Picha ya juu na chini wakiaga mashabiki…..Wakiaga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015

DSC_0266Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi  kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka  akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Zanzibar) Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi  kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka kutoka Afrika Kusini ambaye pia anatamba na wimbo wa ‘Hapo zamani’ usiku wa Julai 19 ameweza kukonga nyoyo za wadau wa...

 

10 years ago

GPL

DC MAKONDA AKONGA NYOYO ZA MAMIA KATIKA SEMINA YA GWT

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akijiandaa kwa mahojiano. Makonda (wa kwanza kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo na mkewe Bi. Veneranda Ephraimu Kavishe wakimfutailia MC Pilipili. Shigongo akizungumza na wahudhuriaji.…

 

11 years ago

Habarileo

JK akonga nyoyo za wasomi, wanasiasa

WASOMI, wanasiasa pamoja na viongozi mbalimbali vya dini wamepongeza hotuba iliyotolewa juzi na Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua Bunge Maalum la Katiba huku wajumbe wa bunge hilo wakitakiwa kuzingatia maoni ya Rais wanapojadili Rasimu ya pili ya Katiba hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani