Wasanii Afrika Mashariki kutengewa saa moja ya MTV Base
JULIET MORI (TUDARCO)
KITUO cha MTV Base kimezindua kipindi kipya kitakachokuwa kikishughulika na wasanii wa Afrika Mashariki kwa kuwahoji na kujua mazingira wanayokutana nayo katika kazi zao kwa ujumla.
Mtandao wa Ghafla Kenya umeeleza kwamba kipindi hicho cha saa moja kitaangalia zaidi maisha ya msanii kiundani na namna anavyoweza kupata kitakachoangalia maisha ya msanii kwa kumtambulisha kiundani, namna anavyoweza kupata mafanikio na aina ya muziki anayofanya.
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-SHpp_fO_DDI/VixchP6GpcI/AAAAAAAEDBg/UbnSUZ6MF9E/s72-c/12019924_982954451746889_5814827121358446274_n.jpg)
WATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-SHpp_fO_DDI/VixchP6GpcI/AAAAAAAEDBg/UbnSUZ6MF9E/s640/12019924_982954451746889_5814827121358446274_n.jpg)
Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki majina hili kupata fursa ya kupiga kura
![](http://2.bp.blogspot.com/-I-_GT_Dmufs/VixdwFfiWQI/AAAAAAAEDCM/omlq8skLY6s/s640/12108172_1349776185036796_947448282307777563_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ovvBR0y4W7s/VixchMoKJiI/AAAAAAAEDBc/gLo-M3vGmWA/s640/12042905_982954431746891_8111603354285238081_n.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VGRfEdcil1I/Vixchg6SFmI/AAAAAAAEDBk/kwEkxdST6qs/s640/12141532_982955748413426_5171724414566659013_n.jpg)
Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.
9 years ago
Bongo513 Dec
Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika
![12346294_444980479044924_1318155553_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_444980479044924_1318155553_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.
Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.
MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.
Orodha hiyo ni:
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)
10 years ago
Bongo529 Apr
Wanjera ya Ommy Dimpoz yaingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya MTV Base
9 years ago
Bongo520 Nov
Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base
![enos4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/enos4-300x194.jpg)
Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.
Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.
Bongo5...
10 years ago
GPLWASANII AFRIKA MASHARIKI KUNUFAIKA NA EALLYWOOD
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Sarafu moja kuchochea ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
LUPITA NYONG’O: Mfano kwa wasanii wa kike Afrika Mashariki
KESHO ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani, mwanadada msanii mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong’o, anaisherehekea kwa furaha ya aina yake, kutokana na mafanikio ya kutwaa tuzo kubwa yenye umaarufu...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-7bdOJXJ6Ff4/U2HZrsurrsI/AAAAAAAFeNs/bv7BQlLp7Bc/s1600/unnamed+%2822%29.jpg)
MKUTANO WA 12 WA SIKU MOJA WA VIONGOZI WAKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
10 years ago
Bongo521 Nov
Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!