Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI


 Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki  majina hili kupata fursa ya kupiga kuraHapa ni karatasi ya upigaji kura kuanzia ya urais ubunge na udiwani baada ya kuhakiki jina lako unakuja hapa na kukabiziwa karatasi hizi tatu ili kukamirisha  zoezi zima na upigaji kura. Mwanachi akiakiki jina lake kwenye ubao wa majina ya wapigaji kura kituoni hapo
Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WATU WAMESHAANZA KUPANGA FOLENI TAYARI KWA KUTAKA KUPIGA KURA


Kituo cha Magomeni mapipa kata ya Suna wananchi wamisha anza kujipanga ili wapige kula kumchagua kiongozi wanaeamini kuwa anaweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo.

Msimamizi wa kituo cha upigaji kura akielekeza wananchi wapi wajipange ili wapige kura zao kwa utaratibu uliopangwa.
Habari ndiyo hii
Mwananchi akitafakari kura yake aipeleke wapi
Mmoja wa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura kata ya Suna Magomeni mapipa hii ni live bila chenga.

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii Afrika Mashariki kutengewa saa moja ya MTV Base

Wasanii - DiamondJULIET MORI (TUDARCO)

KITUO cha MTV Base kimezindua kipindi kipya kitakachokuwa kikishughulika na wasanii wa Afrika Mashariki kwa kuwahoji na kujua mazingira wanayokutana nayo katika kazi zao kwa ujumla.

Mtandao wa Ghafla Kenya umeeleza kwamba kipindi hicho cha saa moja kitaangalia zaidi maisha ya msanii kiundani na namna anavyoweza kupata kitakachoangalia maisha ya msanii kwa kumtambulisha kiundani, namna anavyoweza kupata mafanikio na aina ya muziki anayofanya.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kila saa moja watu 10 wanakufa kwa Malaria

Na Albano Midelo UGONJWA wa malaria umeuwa watu 652 katika mkoa wa Ruvuma mwaka 2011 kati ya wagonjwa zaidi ya 43,000 waliougua ugonjwa huo katika kipindi hicho. Mratibu wa malaria mkoani Ruvuma, Kibua Kakolwa anabainisha kuwa kati ya wagonjwa waliopoteza maisha watoto chini ya umri wa miaka mitano walikuwa 334 na wenye umri wa zaidi ya miaka mitano walikuwa 318. Kwa mujibu wa mratibu huyo wa malaria katika mwaka huo pekee mkoa ulilaza wagonjwa wenye umri chini ya miaka mitano wapatao...

 

10 years ago

Michuzi

HII NI NYUMBA YA MICHEZO TANZANIA….YAHUSIKAJE?? SAA 3 ASUBUHI HADI SAA SITA ZA MCHANA-SPORTS HEADQUATERS..

  MAULID BARAKA KITENGE WITH CO HOST  IBRAHIM MASOUD “MAESTRO” NA OMAR KATANGA.WACHAMBUZI  OSCAR OSCAR,  MUSSA KAWAMBWA  NA SUDI  MKUMBA

WATAYARISHAJI : YUSUPH MKULE, FRANCIS MHANDO, DR PANJUAN NA  WENGINEO....


1.    MAULID KITENGE NI NANI?,

Huyu ni mtangazaji nguli wa Sports Tanzania, aliyetumia kipindi cha miaka kumi na nne(14) kwenye moja kati ya vituo maarufu nchini Tanzania, na mwanzilishi wa Sports E FM Radio, ambae anafahamika sana kwa utangazaji wake maridhawa, na maswali yenye kutia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani