Kila saa moja watu 10 wanakufa kwa Malaria
Na Albano Midelo UGONJWA wa malaria umeuwa watu 652 katika mkoa wa Ruvuma mwaka 2011 kati ya wagonjwa zaidi ya 43,000 waliougua ugonjwa huo katika kipindi hicho. Mratibu wa malaria mkoani Ruvuma, Kibua Kakolwa anabainisha kuwa kati ya wagonjwa waliopoteza maisha watoto chini ya umri wa miaka mitano walikuwa 334 na wenye umri wa zaidi ya miaka mitano walikuwa 318. Kwa mujibu wa mratibu huyo wa malaria katika mwaka huo pekee mkoa ulilaza wagonjwa wenye umri chini ya miaka mitano wapatao...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI
Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki majina hili kupata fursa ya kupiga kuraHapa ni karatasi ya upigaji kura kuanzia ya urais ubunge na udiwani baada ya kuhakiki jina lako unakuja hapa na kukabiziwa karatasi hizi tatu ili kukamirisha zoezi zima na upigaji kura. Mwanachi akiakiki jina lake kwenye ubao wa majina ya wapigaji kura kituoni hapo
Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.
5 years ago
MichuziTACAIDS YASEMA KILA BAADA YA SAA MOJA WATU TISA WANAAMBUKIZWA UKIMWI, WENGI WAO NI VIJANA
TAKWIMU za maambukizi ya Ukimwi nchini Tanzania kwa sasa yanayonesha kuwa kwa mwaka kuna maambukizi mapya 72000 na kwa siku kuna maambukizi mapya ya watu 200 na hivyo kufanya kila saa moja kati ya watu nane hadi tisa wanaambukizwa ugonjwa huo.
Akizungumza leo Machi 6 mwaka 2020 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania(TACAIDS) Dk.Leonard Maboko amefafanua mwaka 2016 hadi mwaka 2017 ulifanyika utafiti na kubaini kwa mwaka kuna...
10 years ago
Habarileo04 Oct
Treni Dar kwa kadi, kila baada ya nusu saa
SERIKALI imetia saini mkataba wa uwekezaji wa pamoja kati yake na kampuni ya Marekani kwa ajili ya kuanza mradi wa usafiri wa treni ya kisasa itakayoanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA) hadi katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
5 years ago
CCM BlogWATU 627 WAFARIKI KWA SIKU MOJA NCHINI ITALY KUTOKANA NA CORONA, SASA YATUMIA WANAJESHI KUZUIA WATU KUTOKA MAJUMBANI
ITALIA imeamua kuwatumia wanajeshi ili kuongeza nguvu ya kuzuia watu kutoka nje, Jana, Ijumaa Machi 20, 2020, huku maafisa wakisema watu 627 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona katika kipindi cha saa 24.
Idadi hii ya vifo ndiyo kubwa zaidi kutokea ndani ya siku moja duniani tangu mlipuko wa ugonjwa huu utokee nchuni China.
Kupoteza matumaini kwa baadhi ya watu kumeanza kuonekana Kaskazini mwa nchi hiyo hususan kwenye jimbo lililloathirika zaidi la Lombardy ambako kwa...
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria
9 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog09 Nov
11 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi06 Feb