Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria
Mwanabayologia mmoja nchini Ujerumani amesema amepata ushahidi kuwa utawala wa Nazi uliokuwa unaongozwa na Adolf Hitler, ulipanga kutumia Mbu kama silaha wakati wa vita vya pili vya dunia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMsanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake
Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.
Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...
10 years ago
VijimamboWATU 15 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA AKIWA HOSPITALINI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona mgonjwa huyo. Askari ambao wapo katika lindo hilo waliwatilia mashaka...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi
>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Kila saa moja watu 10 wanakufa kwa Malaria
Na Albano Midelo
UGONJWA wa malaria umeuwa watu 652 katika mkoa wa Ruvuma mwaka 2011 kati ya wagonjwa zaidi ya 43,000 waliougua ugonjwa huo katika kipindi hicho.
Mratibu wa malaria mkoani Ruvuma, Kibua Kakolwa anabainisha kuwa kati ya wagonjwa waliopoteza maisha watoto chini ya umri wa miaka mitano walikuwa 334 na wenye umri wa zaidi ya miaka mitano walikuwa 318.
Kwa mujibu wa mratibu huyo wa malaria katika mwaka huo pekee mkoa ulilaza wagonjwa wenye umri chini ya miaka mitano wapatao...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini
Malaria ni miongoni mwa magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya Watanzania wengi hususan watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
10 years ago
Michuzi9 years ago
GPLSCRUB YA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI KWA MIGUU
Wanawake wengi wanapenda kwenda saluni kuosha miguu na kusuguliwa lakini nia ni moja tu ya kuondoa ngozi iliyokufa na kuwa na ile laini. Leo nakuletea scrub nzuri unayoweza kuitumia ukiwa nyumbani kwako na ikaifanya miguu yako kuwa na mvuto. Pia ina uwezo wa kuondoa ngozi ngumu. Kwa wale wenye tatizo la kupasuka kwa miguu scrub hii husaidia kuitunza isipatwe na tatizo hilo. Unaiandaaje?… ...
9 years ago
Habarileo05 Dec
20 kortini tuhuma ya kuua watu 2
WATU 20 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kuua watu wawili.
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Jengo labomoka na kuua watu 17 Uchina
Jengo la ghorofa mbili limebomoka katika mkoa wa Henan, katikati mwa Uchina na kuua wafanyakazi mjengo 17 na kujeruhi wengine 23.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania