Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini

Malaria ni miongoni mwa magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya Watanzania wengi hususan watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Midea ya China yaingiza nchini viyoyozi vya kisasa vinavyotunza mazingira vitauzwa kwa bei nafuu

Mkurugenzi Mkuu wa Changchun International Co.Ltd, Kelvin Zhao, akizungumza katika uzinduzi huo.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa vifaa mbalimbali na viyoyozi (AC), vinavyosambazwa na Kampuni ya Midea ya china uliofanyika Hoteli ya Hyatt Recency Dar es Salaam The Kilimanjaro leo asubuhi.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong (katikati), akiwa meza kuu na viongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

NDC kuzalisha dawa za kuua mbu

Kiwanda cha kutengeneza dawa za kuua mazalia ya mbu cha Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kilichopo Kibaha, mkoani Pwani, kitaanza kazi ya uzalishaji wa dawa za kuua mbu na mazalia yake mwishoni mwa mwaka huu. Imeelezwa kuwa lengo la ujenzi wa kiwanda hicho ni kutaka kupambana na ugonjwa wa malaria.

 

9 years ago

Bongo Movies

Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria

modified_2

Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa  malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini

Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa.

Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa  ni uongo,ndoto au haitawezekani kabisaaaa. Mwaka jana, 2015 wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha California walifanya utafiti na kufanikiwa kupata...

 

9 years ago

Mtanzania

Mbinu mpya ya kudhibiti mbu waenezao malaria

Jamii Yetu Pull Out. Siah.inddMALARIA ni ugonjwa wa kuambukiza u n a o l e t w a na chembe chembe zinazojulikana kwa jina la kitaalamu plasmodium.
Chembe chembe hizi huingia ndani ya mwili wa binadamu baada ya kuumwa na mbu jike aina ya Anopheles.
Mbu mwenye chembe chembe za plasmodium anapomuuma mtu, humuingizia baadhi ya mate yenye viini vya
kuambukiza kwenye kidonda, hivyo kusambaza malaria.

Viini hivi husafiri hadi katika maini ambapo hukaa hadi vifikie ukomavu.
Kuna aina 4 za malaria, ambazo ni P. vivax, P....

 

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa ataka viyoyozi vituo vya mabasi ya Dart

Jiji la Dar es Salaam lilisimama kwa muda wakati wa ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi, uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiandamana na viongozi mbalimbali wa Serikali na  baadhi ya wadau wa usafirishaji nchini huku akitoa maagizo saba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria

Mwanabayologia mmoja nchini Ujerumani amesema amepata ushahidi kuwa utawala wa Nazi uliokuwa unaongozwa na Adolf Hitler, ulipanga kutumia Mbu kama silaha wakati wa vita vya pili vya dunia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali inajenga Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya viluwiluwi vya mbu

Meneja-Uhusiano-na-Mawasiliano-wa-Shirika-la-Maendeleo-ya-Taifa-NDC-Abel-Ngapemba-kushoto-kulia-Inginia-Godfrey-Mahundi.

Meneja Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) Abel Ngapemba (kushoto) akiwa na Injinia Godfrey Mahundi.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali kutumia Euro Milioni 16 katika ujenzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vinavyoua viluwiluwi vya mbu wanaoambukiza malaria ulioko chini ya shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Abel Ngapemba wakati wa mkutano nawaandishi wa habari leo jijini Dar es...

 

5 years ago

CCM Blog

MALARIA YAPUNGUA NCHINI

  Na.WAMJW,ChunyaTakwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na matumizi ya vyandarua kwa wanajamii kitaifa ni asilimia 52.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya uliofanyika wilayani Chunya.
Waziri Ummy amesema kuwa Mkoa wa Mbeya, upatikanaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani