Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Midea ya China yaingiza nchini viyoyozi vya kisasa vinavyotunza mazingira vitauzwa kwa bei nafuu

Mkurugenzi Mkuu wa Changchun International Co.Ltd, Kelvin Zhao, akizungumza katika uzinduzi huo.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa vifaa mbalimbali na viyoyozi (AC), vinavyosambazwa na Kampuni ya Midea ya china uliofanyika Hoteli ya Hyatt Recency Dar es Salaam The Kilimanjaro leo asubuhi.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong (katikati), akiwa meza kuu na viongozi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kinana ashuhudia mchimbaji mdogo wa Tanzanite anavyosaidia wenzake kwa kuwauzia kwa bei nafuu vifaa vya uchimbaji madini Mererani

1. Mchimbaji mdogo wa Mererani, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Kinana vifaa vya uchimbaji amnavyouza kwa wachimbaji wengine pia

Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite  kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro,  Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema...

 

11 years ago

Mwananchi

Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini

Malaria ni miongoni mwa magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya Watanzania wengi hususan watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

 

9 years ago

GPL

9 years ago

Global Publishers

Magari haya yanauzwa kwa bei nafuu

TOYOTA AVENSES (3) TOYOTA AVENSES (2) TOYOTA AVENSES (1)
TOYOTA AVENSIS 1.9 CC

DIESEL ENGINE

MODEL 2005 MANUAL

THE CAR IS IN DAR ES SALAAM JUST IMPORTED FROM U.K LONDON

PRICE T.SH. 7.5 MILLION

CONTACTS:  +255 718 030 320

                          +255 774 659 895

 

LAND ROVER DISCOVERY TD5 (2) LAND ROVER DISCOVERY TD5 (1)

LAND ROVER DISCOVERY TD5

MODEL 2004 PICK UP AUTOMATIC

GEAR BOX DIESEL

PRICE 17 MILLION

THE CAR IS IN ZANZIBAR BUT WE CAN ARRANGE SHIPPING IT TO ANYWHERE

CONTACTS:  +255 718 030 320

                          +255 774 659...

 

11 years ago

Mwananchi

Huduma za afya zitolewe kwa bei nafuu -Dk Rashid

>Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amezitaka Taasisi na sekta binafsi zinazotoa huduma ya afya, kutoa kwa gharama nafuu ili kila mwananchi aweze kupata matibabu kwa usawa.

 

9 years ago

Global Publishers

Jipatie Tyre Changer, Wheel Balancer na Compressor kwa bei nafuu

1 2

Tyre Changer

Tyre Changer, Wheel Balancer na Compressor vinauzwa, ni used kutoka UK lakini vipo katika hali nzuri. Vyote vipo Dar es Salaam.

Mawasiliano: Mr. Saleh 0774 65 98 95 au
                            Mr. Mbaraka 0779 100064

 

9 years ago

Michuzi

BEI YA MENO YA TEMBO YAANGUKA NCHINI CHINA

Pamoja na kupanda kwa bei za pembe za ndovu kuanzia mwaka 2010 kufikia mwaka 2014, thamani ya meno ya tembo imeshuka kwa kiasi kubwa nchini China jambo ambalo ni habari njema kwa Tanzania katika harakati zake kukomesha ujangili wa pembe za ndovu. 
Taarifa mpya ya utafiti uliofanywa na watafiti Esmond Martin na Lucy Vigne wa shirika la Save the Elephants na kutolewa wiki hii imeainisha kwamba bei za meno ya tembo ghafi nchini China zimeshuka kwa zaidi ya nusu katika kipindi cha miezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani