Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jipatie Tyre Changer, Wheel Balancer na Compressor kwa bei nafuu

1 2

Tyre Changer

Tyre Changer, Wheel Balancer na Compressor vinauzwa, ni used kutoka UK lakini vipo katika hali nzuri. Vyote vipo Dar es Salaam.

Mawasiliano: Mr. Saleh 0774 65 98 95 au
                            Mr. Mbaraka 0779 100064

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

9 years ago

Global Publishers

Magari haya yanauzwa kwa bei nafuu

TOYOTA AVENSES (3) TOYOTA AVENSES (2) TOYOTA AVENSES (1)
TOYOTA AVENSIS 1.9 CC

DIESEL ENGINE

MODEL 2005 MANUAL

THE CAR IS IN DAR ES SALAAM JUST IMPORTED FROM U.K LONDON

PRICE T.SH. 7.5 MILLION

CONTACTS:  +255 718 030 320

                          +255 774 659 895

 

LAND ROVER DISCOVERY TD5 (2) LAND ROVER DISCOVERY TD5 (1)

LAND ROVER DISCOVERY TD5

MODEL 2004 PICK UP AUTOMATIC

GEAR BOX DIESEL

PRICE 17 MILLION

THE CAR IS IN ZANZIBAR BUT WE CAN ARRANGE SHIPPING IT TO ANYWHERE

CONTACTS:  +255 718 030 320

                          +255 774 659...

 

11 years ago

Mwananchi

Huduma za afya zitolewe kwa bei nafuu -Dk Rashid

>Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amezitaka Taasisi na sekta binafsi zinazotoa huduma ya afya, kutoa kwa gharama nafuu ili kila mwananchi aweze kupata matibabu kwa usawa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana ashuhudia mchimbaji mdogo wa Tanzanite anavyosaidia wenzake kwa kuwauzia kwa bei nafuu vifaa vya uchimbaji madini Mererani

1. Mchimbaji mdogo wa Mererani, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Kinana vifaa vya uchimbaji amnavyouza kwa wachimbaji wengine pia

Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite  kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro,  Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA BEI NAFUU

Na mwandshi wetu, KigomaSHIRIKA la umeme Tanesco kupitia idara ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma juu ya kuchangakia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali.
Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye mkoa huo wili hii  imewafikia wanakijiji wa  vijiji vya Kigoma  ambapo baadhi ya wananchi wameishukuru serikali kwa miradi hii ya kuunganishiwa umeme wa bei nafuu kwani inachangia maendeleo ya kiuchumi.
Vijiji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Midea ya China yaingiza nchini viyoyozi vya kisasa vinavyotunza mazingira vitauzwa kwa bei nafuu

Mkurugenzi Mkuu wa Changchun International Co.Ltd, Kelvin Zhao, akizungumza katika uzinduzi huo.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa vifaa mbalimbali na viyoyozi (AC), vinavyosambazwa na Kampuni ya Midea ya china uliofanyika Hoteli ya Hyatt Recency Dar es Salaam The Kilimanjaro leo asubuhi.

Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong (katikati), akiwa meza kuu na viongozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua dawati la bei nafuu na imara

PG4A0989

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati  lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16, 2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa  bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani  kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira,...

 

11 years ago

GPL

MZIGO MPYA - NGUO ZA KIKE - BEI NAFUU

NEW ARRIVALS!! MZIGO MPYA!! Tuna Mzigo mpya Dukani kwetu.. Blouse, Trousers, Vikoti, Jeans, Hot-pants ni 15,000; Magauni: Marefu 30,000/= Mafupi 20,000; Viatu: Flats 25,000/= Heels 50,000/= Raba 45,000 & Handbags 40,000/= SIMU: 0774801316, Tupo Kijitonyama karibu na Police Mabatini. Tembelea www.facebook.com/SachquesClothingStore kuona nguo zaidi.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani