Pinda akagua dawati la bei nafuu na imara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16, 2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TLcXTUddBmw/VOJB-hPhlDI/AAAAAAAHEEo/7BF0l44lzOA/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-TLcXTUddBmw/VOJB-hPhlDI/AAAAAAAHEEo/7BF0l44lzOA/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovBEWeWukIaOyMzU-S-3R8bkNXhuZ5N0zvNgKwjH-ctkhEmdGw*y-QfRCOY8gSWO5M4htjw1Ztv88UkYF9lZqtIl/vyoo.gif?width=550)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8Icn9C4905Nmy2Ul9UplsUYP9UAaKBe1B5D1O5g90ku-42IALw762BpMLL0bctPJzoT*KCeMSCkN6T*t9Rekb70Mq/1512773_673163702734976_198389200_n.jpg)
MZIGO MPYA - NGUO ZA KIKE - BEI NAFUU
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Magari haya yanauzwa kwa bei nafuu
TOYOTA AVENSIS 1.9 CC
DIESEL ENGINE
MODEL 2005 MANUAL
THE CAR IS IN DAR ES SALAAM JUST IMPORTED FROM U.K LONDON
PRICE T.SH. 7.5 MILLION
CONTACTS: +255 718 030 320
+255 774 659 895
LAND ROVER DISCOVERY TD5
MODEL 2004 PICK UP AUTOMATIC
GEAR BOX DIESEL
PRICE 17 MILLION
THE CAR IS IN ZANZIBAR BUT WE CAN ARRANGE SHIPPING IT TO ANYWHERE
CONTACTS: +255 718 030 320
+255 774 659...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Ninaposhindwa kuelewa maana ya nyumba za bei nafuu
10 years ago
Habarileo02 Sep
JK aagiza NHC wajenge nyumba za bei nafuu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuangalia uwezekano wa kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi, ili kuwezesha hata wenye kipato cha chini kukopa na kuishi kwenye makazi bora.
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Huduma za afya zitolewe kwa bei nafuu -Dk Rashid
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-YLuPHg7A_cY/U7-ah4sD4DI/AAAAAAAF03o/sRLAlPKri8U/s1600/D92A9346.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU MKINGA