WAZIRI MKUU AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-TLcXTUddBmw/VOJB-hPhlDI/AAAAAAAHEEo/7BF0l44lzOA/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lililobuniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, na Mkurugrnzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Pinda akagua dawati la bei nafuu na imara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16, 2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira,...
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Waziri Lukuvi azindua nyumba za bei nafuu za NHC Longido
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akipewa na Mkurugenzi Mkuu wa NHC maelezo ya uendelezaji wa eneo la Usa-river lililonunuliwa na NHC kwa ajili ya kujenga Jiji la kisasa hapo jana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Williama Vangimembe Lukuvi jana alifungua nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Wilayani Longido na kuwataka wananchi kununua nyumba hizo ili NHC iweze kujenga zingine kusaidia Wilaya hiyo kupata makazi...
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700.
“Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi Singida kimetoa ajira 6,300 wakati mradi wa umeme...
10 years ago
Dewji Blog09 May
Waziri Mkuu akagua kiwanda cha viuadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-a_xox5K29aY/Xr2NibSO-II/AAAAAAALqRo/VsFSTltjQL4rpmMn4WUjCtjYo8muj58fQCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_9429AAA-768x512.jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP
![](https://1.bp.blogspot.com/-a_xox5K29aY/Xr2NibSO-II/AAAAAAALqRo/VsFSTltjQL4rpmMn4WUjCtjYo8muj58fQCLcBGAsYHQ/s640/PMO_9429AAA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PMO_9326AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PMO_9442AAA-1024x683.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati Dkt. Medad Kalemani, wakati alipokagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Waziri Mkuu Pinda akagua mtambo wa kuchakata gesi Mtwara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wahadisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi kwa gharama za serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lqTxCyFtXvU/VajptaiFIOI/AAAAAAAHqOw/_01YYUMfxmc/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE
![](http://2.bp.blogspot.com/-lqTxCyFtXvU/VajptaiFIOI/AAAAAAAHqOw/_01YYUMfxmc/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4qEWaERQEac/VajptX7MJTI/AAAAAAAHqOs/tlRZXdFnipI/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)