Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDC kuzalisha dawa za kuua mbu

Kiwanda cha kutengeneza dawa za kuua mazalia ya mbu cha Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kilichopo Kibaha, mkoani Pwani, kitaanza kazi ya uzalishaji wa dawa za kuua mbu na mazalia yake mwishoni mwa mwaka huu. Imeelezwa kuwa lengo la ujenzi wa kiwanda hicho ni kutaka kupambana na ugonjwa wa malaria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini

Malaria ni miongoni mwa magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya Watanzania wengi hususan watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali inajenga Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya viluwiluwi vya mbu

Meneja-Uhusiano-na-Mawasiliano-wa-Shirika-la-Maendeleo-ya-Taifa-NDC-Abel-Ngapemba-kushoto-kulia-Inginia-Godfrey-Mahundi.

Meneja Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) Abel Ngapemba (kushoto) akiwa na Injinia Godfrey Mahundi.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali kutumia Euro Milioni 16 katika ujenzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vinavyoua viluwiluwi vya mbu wanaoambukiza malaria ulioko chini ya shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Abel Ngapemba wakati wa mkutano nawaandishi wa habari leo jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa ya kupaka kuzuia mbu sasa yaadimika Dar

Katika harakati za kukabiliana na mbu wanaosambaza homa ya dengue, wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake sasa wamezigeuza dawa za kupaka za mbu (mosquito repellent) kuwa mkombozi wao na kusababisha biashara ya dawa hizo kushamiri kwa kasi.

 

11 years ago

Habarileo

Mabasi, hoteli zote Dar kupuliziwa dawa ya mbu

MKOA wa Dar es Salaam umeagiza kupulizia dawa za kuua mazalio ya mbu katika mabasi yanayoenda nje ya Dar es Salaam, katika hoteli, shule na vyuo, masoko na majengo yote ya taasisi za serikali na binafsi ili kupambana na ugonjwa wa dengue.

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua

Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.

Na Salma Mrisho

Geita

 

Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.

 

Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.

 

Kilimo cha zao la Pamba ambacho...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu

Baada ya Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kugombea nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, jana idadi kubwa ya wajumbe walimuunga mkono na kumpa kura 487 kuongoza Bunge hilo.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa mbu, kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani