Dawa ya kupaka kuzuia mbu sasa yaadimika Dar
Katika harakati za kukabiliana na mbu wanaosambaza homa ya dengue, wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake sasa wamezigeuza dawa za kupaka za mbu (mosquito repellent) kuwa mkombozi wao na kusababisha biashara ya dawa hizo kushamiri kwa kasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Dawa ya kupaka ili kuzuia HIV haifai
11 years ago
Habarileo17 May
Mabasi, hoteli zote Dar kupuliziwa dawa ya mbu
MKOA wa Dar es Salaam umeagiza kupulizia dawa za kuua mazalio ya mbu katika mabasi yanayoenda nje ya Dar es Salaam, katika hoteli, shule na vyuo, masoko na majengo yote ya taasisi za serikali na binafsi ili kupambana na ugonjwa wa dengue.
11 years ago
Mwananchi26 May
‘Mafuta ya kuzuia mbu ni hatari’
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Mbinu mpya ya kutibu neti za kuzuia mbu
10 years ago
Mwananchi21 Aug
NDC kuzalisha dawa za kuua mbu
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Dawa ya ujangili ni kuzuia nyara kuingia sokoni
10 years ago
MichuziDAWA ZA KUZUIA KUYUMBA KWA NDOA ZAWEKWA WAZI.
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Matumizi ya dawa za dharura kuzuia mimba na mipira ya kiume yapungua Uingereza
10 years ago
Habarileo05 Jan
Maziwa ya watoto yaadimika
FAMILIA zinazotumia maziwa ya kopo ya Lactogen, ambayo yamesajiliwa hapa nchini kwa ajili ya kutumiwa na watoto wachanga, zina hali ngumu baada ya kuadimika, huku ikielezwa kuwa yatazidi kupotea kwa zaidi ya miezi miwili ijayo.