Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mafuta ya kuzuia mbu ni hatari’

Wataalamu wa afya wameonya kuhusu matumizi holela ya mafuta yanayopakwa mwilini kama dawa za kuzuia mbu, kwa kuwa zinaweza kuwa na madhara kwa baadhi ya watumiaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mbinu mpya ya kutibu neti za kuzuia mbu

Njia mpya ya kutia dawa za kuua mbu kwenye vyandarua imefanikiwa kwa 100% katika kukabili baadhi ya aina za mbu kwa mujibu wa ripoti ya kimataifa

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa ya kupaka kuzuia mbu sasa yaadimika Dar

Katika harakati za kukabiliana na mbu wanaosambaza homa ya dengue, wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake sasa wamezigeuza dawa za kupaka za mbu (mosquito repellent) kuwa mkombozi wao na kusababisha biashara ya dawa hizo kushamiri kwa kasi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbinu mpya ya kuzuia wizi wa mafuta-Nigeria

Shirika la mafuta la Nigeria litatumia ndege zisizo na rubani kufuatilia safari za meli katika juhudi za kuzuia wizi wa mafuta

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.Ofisa Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Wanahabari wakiwa kwenye mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbu waanza kuvamia Uingereza

Kutokana na mabadiliko ya mazingira, Mbu wakiwemo wenye uwezo wa kuambukiza ugonjwa wa Malaria na virusi vijulikanavyo kama 'West Nile virus' wameanza kuvamia Uingereza.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbu wavamia tena Muhimbili

Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo mbalimbali wanakabiliwa na maradhi mengine mapya kutokana na wodi kuvamiwa na mbu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani