Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu

Baada ya Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kugombea nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, jana idadi kubwa ya wajumbe walimuunga mkono na kumpa kura 487 kuongoza Bunge hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INARUHUSU KUJIKINGA HADI KUUA

Na   Bashir  Yakub.
Kifungu  cha 18  cha  Sheria  ya  Kanuni  za  adhabu  sura  ya  16  kimeeleza  hatua  ya  mtu  kujikinga  mwenyewe,  kumkinga  mwenzake  ,  mali  yake  mwenyewe  na  mali  ya  mwenzake. Kujikinga( defence)  maana  yake  ni  kujilinda  au  kujitetea  inapokwa  imekutokea  dharula   ya  kuvamiwa  na  mtu  au  watu  waovu. Uovu  ni  uovu  si  lazima  awe  mwizi .  Hata  mtu  asiyekuwa  mwizi  lakini  amekuvamia  kwa  nia  ovu iwe  nyumbani, kazini  au  sehemu  nyingine...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya chakula na dawa yateketeza bidhaa mbovu kibao mkoani kigoma

 Shehena tani 1.5 ya mikate mibovu kutoka Kigoma Bakery  ikishushwa kwenye dampo la Businde Mkoani Kigoma tayari kwa kuteketezwa kutokana na kutofaa kwa matumizi ya binadam shehena hiyo imebambwa kufuatia msako wa kushitukiza wa (Mamlaka ya chakula na dawaTFDA) Zaidi ya tani moja na nusu za dawa binadaam kutoka duka la Mambo Leo la mjini kigoma zimeteketezwa na TFDA baada ya kuonekana hazifai kwa matumizi ya bindaadamBidhaa mbalimbali za madukani zikiwa tayari kwaaajili ya kuteketezwa baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Kingunge: Katiba mbovu inadumaza maendeleo

Uchumi wa Tanzania utaendelea kudumaa kama itaendelea kung’ang’ania Katiba isiyokuwa na misingi bora ya maendeleo ya uchumi. Hayo yalisemwa jana na mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru mjini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mbovu imechangia umasikini — CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema ubovu wa katiba iliyopo pamoja na sheria zake ndizo zinazosababisha umasikini kwa Watanzania. Kauli hiyo imetolewa mjini hapa jana na Mkurugenzi wa Sera...

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua

Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy.

 

10 years ago

Mwananchi

NDC kuzalisha dawa za kuua mbu

Kiwanda cha kutengeneza dawa za kuua mazalia ya mbu cha Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kilichopo Kibaha, mkoani Pwani, kitaanza kazi ya uzalishaji wa dawa za kuua mbu na mazalia yake mwishoni mwa mwaka huu. Imeelezwa kuwa lengo la ujenzi wa kiwanda hicho ni kutaka kupambana na ugonjwa wa malaria.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.

Na Salma Mrisho

Geita

 

Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.

 

Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.

 

Kilimo cha zao la Pamba ambacho...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Katiba hii nzuri, naomba muipokee

RAIS Jakaya Kikwete ameomba wananchi waipokee katiba inayopendekezwa kwa kuwa ni nzuri na hana wasiwasi nayo. “Tumefika mahali pa kuanza safari ya uamuzi wa mwisho kwa kupiga kura.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani