Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kingunge: Katiba mbovu inadumaza maendeleo

Uchumi wa Tanzania utaendelea kudumaa kama itaendelea kung’ang’ania Katiba isiyokuwa na misingi bora ya maendeleo ya uchumi. Hayo yalisemwa jana na mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru mjini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Migogoro ya ardhi inadumaza maendeleo’

BAADHI ya wakazi wa mji wa Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wamesema migogoro kati ya wakulima na wafugaji ni chanzo cha kudumaza maendeleo katika maeneo yao. Wananchi hao katika vijiji tofauti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mbovu imechangia umasikini — CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema ubovu wa katiba iliyopo pamoja na sheria zake ndizo zinazosababisha umasikini kwa Watanzania. Kauli hiyo imetolewa mjini hapa jana na Mkurugenzi wa Sera...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu

Baada ya Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kugombea nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, jana idadi kubwa ya wajumbe walimuunga mkono na kumpa kura 487 kuongoza Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Katiba Inayopendekezwa ni bora Afrika-Kingunge

Kingunge Ngombale- Mwiru MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisoma Katiba mpya Inayopendekezwa na kuielewa, kwani Katiba hiyo ni bora kuliko Katiba nyingi Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunatengeneza Katiba ya kugawana madaraka-Kingunge

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru, ameishambulia Rasimu ya Pili ya Katiba iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba kwa kusema “imejaa maneno ya kugawana vyeo kwa watawala”.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila, Makaidi, Kingunge ‘waliteka’ Bunge la Katiba

>Wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa kivutio katika ndani na nje ya Bunge hilo linaloendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Habarileo

Kingunge ataka katiba yenye haki za kiuchumi

MWANASIASA nguli nchini, Kingunge Ngombale-Mwirlu ameshauri kuandikwe katiba yenye haki za kiuchumi ili kuleta maendeleo ya wananchi. Kingunge alieleza hayo wakati akichangia kwenye semina ya wajumbe wa bunge hilo juu ya uzoefu wa Kenya kwenye kupata katiba mpya ulioelezwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu wa nchi hiyo aliyekaa madarakani kwa miaka 21 na kushiriki kwa karibu katika uandishi wa katiba mpya, Amos Wako.

 

9 years ago

Mwananchi

Kingunge ajiondoa CCM, asema chama kimekiuka katiba

Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kusema hatajiunga na chama kingine chochote.

 

11 years ago

GPL

KINGUNGE: WANAOPONDA UTEUZI WANGU BUNGE LA KATIBA WAMEUMBUKA

Kingunge Ngombale Mwiru. Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Veterani wa siasa nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amesema kuwa wote walioponda uteuzi wake katika Bunge la Katiba, wameumbuka na sasa anachokitazama ni kuijenga nchi imara kupitia Katiba Mpya. Kigunge alisema, habebwi na Rais Jakaya Kikwete na kwamba tamko la Chama cha Waganga wa Jadi nchini kuwa yeye ndiye mwakilishi wao, limewaumbua wote waliokuwa wanaponda uteuzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani