Kingunge ataka katiba yenye haki za kiuchumi
MWANASIASA nguli nchini, Kingunge Ngombale-Mwirlu ameshauri kuandikwe katiba yenye haki za kiuchumi ili kuleta maendeleo ya wananchi. Kingunge alieleza hayo wakati akichangia kwenye semina ya wajumbe wa bunge hilo juu ya uzoefu wa Kenya kwenye kupata katiba mpya ulioelezwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu wa nchi hiyo aliyekaa madarakani kwa miaka 21 na kushiriki kwa karibu katika uandishi wa katiba mpya, Amos Wako.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Magreth Kinabo, Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameeleza siri iliyomsukuma kutoa mapendekezo yake ya sura mpya juu ya lengo la mageuzi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kujitegemea kuwa ni unyonge wa watu wengi ili waweze kuondokana na umasikini.
Aidha Mzee Kingunge...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]
10 years ago
Habarileo09 Jul
Kingunge asisitiza haki ya kukata rufaa CCM
MUASISI wa Chama Cha Mapinduzi, Kingunge Ngombale-Mwiru amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa nafasi ya rufaa kwa watu watakaoona kutotendewa haki katika kuwania urais kupitia chama hicho.
11 years ago
Mwananchi16 May
Kingunge ataka utafiti tiba asilia
11 years ago
Habarileo17 Mar
Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu
MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.
10 years ago
Habarileo22 Jan
Dk Nagu ataka wananchi wawezeshwe kiuchumi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amesema kazi ya kuwawezesha wananchi kiuchumi si ya serikali pekee na kuwataka wadau mbalimbali na taasisi za fedha kutumia sehemu ya faida yake kuwasaidia wananchi kujikwamua kiuchumi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
Habarileo04 Nov
JK ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili rushwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia