Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kingunge ataka utafiti tiba asilia

Serikali imetakiwa kutoa fedha kwa ajili ya utafiti wa dawa asilia ili kusaidia jamii kukabiliana na maradhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA


2 (14)Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia  katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani. Kingunge amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili 3 (9)Lucey Samwel, kutoka...

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya dawa asilia kama tiba mbadala (2)

Napenda kufafanua kuwa maelezo yangu kuhusu dawa asilia hayana uhusiano wowote na masuala ya tiba yanayoshughulikiwa na waganga wa kienyeji wanaotumia mazingaombwe, ushirikina, mizimu, mashetani na mambo kama hayo.

 

11 years ago

Michuzi

Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma atembelea idhaa ya Kiswahili DW

Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma ametembelea Makao Makuu ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) jijini Bonn akiwa katika ziara ya mafunzo nchini Ujerumani na hasa kustawisha tiba mbadala kwa afya. Pamoja na DW anatembelea vyuo na taasisi mbalimbali za tiba.  Dokta Mwaka Juma akiwa na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili DW  Dokta Mwaka Juma akisalimia na Abdul Mtullya  Dokta Mwaka Juma akiwa na Josephat Charo  Dokta Mwaka Juma akiwa na Samia Othman pamoja na...

 

11 years ago

Habarileo

Kingunge ataka katiba yenye haki za kiuchumi

MWANASIASA nguli nchini, Kingunge Ngombale-Mwirlu ameshauri kuandikwe katiba yenye haki za kiuchumi ili kuleta maendeleo ya wananchi. Kingunge alieleza hayo wakati akichangia kwenye semina ya wajumbe wa bunge hilo juu ya uzoefu wa Kenya kwenye kupata katiba mpya ulioelezwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu wa nchi hiyo aliyekaa madarakani kwa miaka 21 na kushiriki kwa karibu katika uandishi wa katiba mpya, Amos Wako.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UTAFITI WA TIBA ASILI

Mkurugenzi wa Tasisi ya Utafiti ya Ifakara,Salim Abdullah akisaini makubaliano ya kuendeleza utafiti  tasisi hiyo kulia ni Mkuu wa Taasisi ya Kinga na wa China,Dk.Ning Xiao  katika hafla iliypfanyika leo jijin Dar es Salaam.(Picha Emmanuel Massaka). WAZIRI wa Afya  na Ustawi wa Jamii,Dk.Seif Rashid akizungumza hafla ya makubaliano na Serikali ya watu wa China ( Kulia),Naibu Waziri  na Kamisheni ya Taifa ya Afya na Uzazi wa Mpango,na  Usimamizi wa Tiba Asili iliyofanyika leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini

PG4A5091

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Magreth Kinabo, Dodoma

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale  Mwiru ameeleza siri iliyomsukuma  kutoa mapendekezo yake  ya sura mpya juu ya lengo la mageuzi ya maendeleo ya kiuchumi  na kijamii na kujitegemea kuwa ni unyonge wa watu wengi ili waweze kuondokana na umasikini.

 Aidha Mzee  Kingunge...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Afungua Hospitali ya Utafiti na Tiba Dodoma

.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. (picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital...

 

11 years ago

Mwananchi

Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]

Mzee Ngombale-Mwiru amewatahadharisha wajumbe wasivuke mipaka, akiwaeleza hawakwenda Dodoma kuipiga vijembe timu ya Warioba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani