KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA
Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.
Kingunge amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili
Lucey Samwel, kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 May
Kingunge ataka utafiti tiba asilia
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Ujauzito na miiko, imani potofu
KWA wanaofuatilia mfululizo wa makala hizi, watakuwa wanafahamu kuwa tumefika hatua ambayo mwanamke tayari ameshapata ujauzito. Tumeeleza hatua kwa hatua mambo ambayo wenza wanapaswa kuyafanya ili kuwezesha utungaji wa ujauzito...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
‘Imani potofu zinaua soka’
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Jamii yaaswa kuacha imani potofu
JAMII imetakiwa kuacha imani potofu na kutoa ushirikiano kikamilifu katika ukusanyaji wa takwimu kwa kila kaya nchini ili kuwezesha Serikali kupanga mipango mbalimbali ya maendeleo katika kuboresha huduma na sera...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Vita ya dondosha ‘mkono wa sweta’ na imani potofu
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Coronavirus: Ushauri wa kiafya ambao ni imani potofu tu
9 years ago
Mwananchi22 Nov
NYANZA: Jamii inahusisha kisukari na imani potofu- TANCDA
10 years ago
Habarileo25 Jan
Watanzania wahimizwa kuondokana na simu bandia
WAKATI matumizi ya teknolojia yakielezwa kuongezeka katika nchi za Afrika hasa ya simu, Watanzania wameshauriwa kutumia simu zenye viwango vya kimataifa ili kuepukana na athari za matumizi ya simu bandia.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Matumizi ya dawa asilia kama tiba mbadala (2)