Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wahimizwa kuondokana na simu bandia

WAKATI matumizi ya teknolojia yakielezwa kuongezeka katika nchi za Afrika hasa ya simu, Watanzania wameshauriwa kutumia simu zenye viwango vya kimataifa ili kuepukana na athari za matumizi ya simu bandia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA


2 (14)Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia  katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani. Kingunge amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili 3 (9)Lucey Samwel, kutoka...

 

11 years ago

Habarileo

FCC yakamata simu bandia za mil. 72/-

TUME ya Ushindani (FCC) imekamata simu bandia zenye thamani ya Sh milioni 72.2 katika maduka ya Kariakoo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya simu bandia za iphone yavamiwa

Kampuni iliyodaiwa kutengeneza simu bandia 41,000 aina ya Iphones kutoka kampuni ya Apple imevamiwa huko Uchina na watu 9 kukamatwa.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaojisajili majina bandia kwenye simu kukiona

SERIKALI imetoa onyo kwa watu wanaosajili namba za simu kwa kutumia majina bandia na kueleza bayana kuwa watachukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kwenda jela miezi sita au kutozwa faini.

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akionesha moja ya simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, WhatsApp, Twitter, Viber, na Instagram. Pamoja naye ni Mkuu wa Idara ya bidhaa kwa wateja wa Vodacom Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kula vizuri

Dk Donan MmbandoWATANZANIA wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula na ufanyaji wa mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, ambayo kwa sasa yanasababisha vifo vya watu wengi hapa nchini.

 

10 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kudumisha amani

Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.

Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki

Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...

 

9 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli

MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.

Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani