Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Ushauri wa kiafya ambao ni imani potofu tu

Ushauri wa kutumia kitunguu saumu ili kujikinga na virusi vya corona ni miongoni mwa imani potofu zinazoenea mtandaoni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ujauzito na miiko, imani potofu

KWA wanaofuatilia mfululizo wa makala hizi, watakuwa wanafahamu kuwa tumefika hatua ambayo mwanamke tayari ameshapata ujauzito. Tumeeleza hatua kwa hatua mambo ambayo wenza wanapaswa kuyafanya ili kuwezesha utungaji wa ujauzito...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Imani potofu zinaua soka’

>Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema wachezaji wengi wa Tanzania wanaamini sana imani za kishirikina kitu ambacho hakina faida kwao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yaaswa kuacha imani potofu

JAMII imetakiwa kuacha imani potofu na kutoa ushirikiano kikamilifu katika ukusanyaji wa takwimu kwa kila kaya nchini ili kuwezesha Serikali kupanga mipango mbalimbali ya maendeleo katika kuboresha huduma na sera...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita ya dondosha ‘mkono wa sweta’ na imani potofu

Wakati Serikali ikihimiza tohara ya mwanamume kama mbinu mojawapo mahususi ya kujikinga na maambukizi ya Ukimwi, bado zipo imani potofu zinazokinzana na juhudi hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: Jamii inahusisha kisukari na imani potofu- TANCDA

Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA), limesema mikoa ya Kanda ya Ziwa imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu kutokana na kuyahusisha na imani potofu.

 

11 years ago

Michuzi

KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA


2 (14)Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia  katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani. Kingunge amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili 3 (9)Lucey Samwel, kutoka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wataalamu wanasema nini kuhusu wenye matatizo ya kiafya?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri yeyote,lakini watu wenye matatizo ya kiafya na wazee wanadhaniwa kuwa katika hatari ya kuathirika zaidi na dalili zake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Dhana potofu zinazohusishwa na kuenea kwa ugonjwa huu

Mamlaka ya afya nchini China inajaribu kila njia kudhibiti mlipuko wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa kote duniani tangu kuripotiwa katika mji Wuhan China.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Hivi ndivyo unavyoweza kuzuwia sambaa kwa taarifa potofu

Wataalamu wanautolea wito umma kujifunza kutoa ‘taarifa safi ’ili kusaidia kuzuwia kuenea kwa taarifa za gushi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani