JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYOONDOLEWA KWA TIBA ASILIA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...
10 years ago
Michuzi
FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI


Kwa upande wa wanaume seli hizo...
11 years ago
GPL
NAMBA MAALUMU YA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU JINSI YA KUJIKINGA NA MALARIA NA TIBA YATANGAZWA RASMI UWANJA WA TAIFA LEO
Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria No More  kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga.Wakati Vodacom Tanzania kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya...
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba
Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.
11 years ago
GPL
FAHAMU JINSI YA KUJITIBU KWA MAJI TU
Maradhi ya muda mrefu na mfupi yanayosababisha vifo, yanaweza kupona kwa njia rahisi sana. Njia hii si nyingine bali ni maji ya kunywa. imeelezwa na wataalamu kwamba mtu anaweza kujitibu maradhi ya muda mrefu na mfupi kama haya yafuatayo:- Kuumwa kichwa (headache), shinikizo la damu (BP), upungufu wa damu (Anaemia), kupooza, unene (obesity), mapigo ya haraka ya moyo na kuzimia.
Kikohozi, kuumwa na koo (Bronchitis), pumu na...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Jinsi ya kupambana na ujeuri kwa mwanao
Je, mtoto wako ametimiza umri wa miaka 15? Je, ana tabia ya ujeuri? Mara nyingi wazazi huamini kuwa mtoto anapokuwa kwenye umri huu tabia ya ujeuri ni sehemu ya makuzi yake. Lakini hili si kweli.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Jinsi ya kurithi ardhi kwa kutumia sheria
Kurithi ni njia ambayo ni ya zamani zaidi kuliko njia zote za upatikanaji wa ardhi. Kurithi kumeanza enzi za mababu mpaka leo kupo.
10 years ago
GPL
MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI
Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania