Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi ya kupambana na ujeuri kwa mwanao

Je, mtoto wako ametimiza umri wa miaka 15? Je, ana tabia ya ujeuri? Mara nyingi wazazi huamini kuwa mtoto anapokuwa kwenye umri huu tabia ya ujeuri ni sehemu ya makuzi yake. Lakini hili si kweli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kumsaidia mwanao apende kusoma

Kumfundisha mwanao kusoma ni jambo muhimu sana katika maisha yake. Pamoja na ukweli kuwa kila mtoto ni wa kipekee, kuna mwongozo wa jumla kwa watoto wote, unaowasaidia kusoma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mrembo apokonywa taji kwa ujeuri wake Burma

Mshindi wa mashindano ya taji la Miss Asia Pacific World, amevuliwa taji lake akisemekana ni mjeuri, hana hadhi na hastaili taji hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona

Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

'Homework' tele ni ugonjwa kwa mwanao.

Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Oviedo, nchini Hispania ,umegundua masomo ya nyumbani yakizidi saa moja,ufanisi hushuka

 

10 years ago

Michuzi

JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kuniníginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...

 

11 years ago

GPL

WEKEZA ELIMU, TABIA NJEMA NA KUJIAMINI KWA MWANAO!

Daima Mungu ni mwema na namshukuru kwa kunikutanisha nanyi wasomaji wangu ambao kimsingi ndio mnaonipa mwanga wa kitu gani cha kuandika kutokana na maswali yenu ya msingi juu ya mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku. Mpendwa msomaji wangu, nadhani unafahamu kwamba wengi wetu hasa wale ambao wako katika maisha ya ndoa wanatarajia kitu kimoja ambacho kinaweza kuongeza furaha na amani, nacho si kingine bali ni mtoto....

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani