Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kuniníginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

11 years ago

GPL

NAMBA MAALUMU YA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU JINSI YA KUJIKINGA NA MALARIA NA TIBA YATANGAZWA RASMI UWANJA WA TAIFA LEO‏

Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria No More  kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga.Wakati Vodacom Tanzania  kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba

Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.

 

11 years ago

GPL

FAHAMU JINSI YA KUJITIBU KWA MAJI TU

Maradhi ya muda mrefu na mfupi yanayosababisha vifo, yanaweza kupona kwa njia rahisi sana.  Njia hii si nyingine bali ni maji ya kunywa. imeelezwa na wataalamu kwamba mtu anaweza kujitibu maradhi ya muda mrefu na mfupi kama haya yafuatayo:- Kuumwa kichwa (headache), shinikizo la damu (BP), upungufu wa damu (Anaemia), kupooza, unene (obesity), mapigo ya haraka ya moyo na kuzimia.
Kikohozi, kuumwa na koo (Bronchitis), pumu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kupambana na ujeuri kwa mwanao

Je, mtoto wako ametimiza umri wa miaka 15? Je, ana tabia ya ujeuri? Mara nyingi wazazi huamini kuwa mtoto anapokuwa kwenye umri huu tabia ya ujeuri ni sehemu ya makuzi yake. Lakini hili si kweli.

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kurithi ardhi kwa kutumia sheria

Kurithi ni njia ambayo ni ya zamani zaidi kuliko njia zote za upatikanaji wa ardhi. Kurithi kumeanza enzi za mababu mpaka leo kupo.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani