Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Magreth Kinabo, Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameeleza siri iliyomsukuma kutoa mapendekezo yake ya sura mpya juu ya lengo la mageuzi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kujitegemea kuwa ni unyonge wa watu wengi ili waweze kuondokana na umasikini.
Aidha Mzee Kingunge...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
Kingunge ataka katiba yenye haki za kiuchumi
MWANASIASA nguli nchini, Kingunge Ngombale-Mwirlu ameshauri kuandikwe katiba yenye haki za kiuchumi ili kuleta maendeleo ya wananchi. Kingunge alieleza hayo wakati akichangia kwenye semina ya wajumbe wa bunge hilo juu ya uzoefu wa Kenya kwenye kupata katiba mpya ulioelezwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu wa nchi hiyo aliyekaa madarakani kwa miaka 21 na kushiriki kwa karibu katika uandishi wa katiba mpya, Amos Wako.
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Mzee Kingunge ameniacha na mshangao
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM
9 years ago
Habarileo05 Oct
Mzee Kingunge ang’oka CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge
Jabir Idrissa NANI katika CCM waliopo sasa, akiwemo Mwenyekiti wao Jakaya Mrisho Kikwete, makamu Philip Mangula na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana, anayekijua kwa ufasaha chama hiki – asili yake, itikadi yake, sera yake, malengo yake – […]
The post Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qg6qsIbqT-LqVjHFnxzM09HS7MW6Wc4nstX-3tk9oIMeIjKo*zvQ7OB-Ykwqg5xuKuvdkreM0tdg5NUfoAOomLg/BREAKINGNEWS.gif)
MZEE KINGUNGE: SI SAHIHI KUMSHAMBULIA JAJI WARIOBA!
11 years ago
Mwananchi16 May
Kingunge ataka utafiti tiba asilia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q2Rw0WFHT4aFKB9O-0si*aziWBtRbr6BT6rqG-j*azpHnsVE0gpOCMkKT2a3bwTxDvmaaO20MTFAPnfUA0fEdf9/kingunge1.jpg?width=650)
ALICHOSEMA MZEE KINGUNGE KUHUSU JAJI WARIOBA NI SAHIHI