Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Kingunge ang’oka CCM

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Mwanasiasa mkongwe nchini ambaye ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngombale Mwiru hivi punde wakati akiongea na wanahabari jijini Dar ametangaza kuachana na chama hicho maana kimeshindwa kuheshimu katiba yake, asema hajiungi na chama chochote ila yupo upande wa mabadiliko.

 

10 years ago

Habarileo

Werema ang’oka

WeremaWAKATI Watanzania wakisubiri kusikia uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete juu ya maazimio manane yaliyotolewa na Bunge kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu wadhifa huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’oka

HATIMAYE ukweli umedhihirika. Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh imethibitisha habari zilizoripotiwa na gazeti hili tangu Mei 2012, kuhusu miradi ya kifisadi iliyokuwa ikitekelezwa na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo

Kwa maelezo zaidi Bonyeza vidio

The post Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.


Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo chakuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusukikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili yakuheshimu katiba na taratibu za chama.Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.

Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

9 years ago

Mwananchi

Mzee Kingunge ameniacha na mshangao

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alipoamua kuachana na chama hicho yaliibuka maswali mengi kuliko majibu na hata Profesa Ibrahim Lipumba alipoukataa wadhifa wake wa uenyekiti Taifa wa CUF kwa sababu tu Edward Lowassa amepitishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais, pia watu walihoji.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge

Jabir Idrissa NANI katika CCM waliopo sasa, akiwemo Mwenyekiti wao Jakaya Mrisho Kikwete, makamu Philip Mangula na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana, anayekijua kwa ufasaha chama hiki – asili yake, itikadi yake, sera yake, malengo yake – […]

The post Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

MZEE KINGUNGE: SI SAHIHI KUMSHAMBULIA JAJI WARIOBA!

MWANASIASA Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema si sawa kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba wakati akichangia katika Majadiliano ya Bunge zima kwa sura ya kwanza na sita ya Bunge Maalum la Katiba hivi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani