Werema ang’oka
WAKATI Watanzania wakisubiri kusikia uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete juu ya maazimio manane yaliyotolewa na Bunge kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu wadhifa huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Meya Bukoba ang’oka
HATIMAYE ukweli umedhihirika. Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh imethibitisha habari zilizoripotiwa na gazeti hili tangu Mei 2012, kuhusu miradi ya kifisadi iliyokuwa ikitekelezwa na...
9 years ago
Habarileo05 Oct
Mzee Kingunge ang’oka CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-
MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Padri Mkatoliki ang’ang’aniwa kortini
KESI inayomkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa matunzo kwa mwanawe, juzi iliahirishwa tena kwa mara ya tatu baada ya mlalamikiwa kushindwa kufika mahakamani.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Kafulila ang’ang’ana mabehewa feki
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni taarifa ya kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki katika Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kusababisha hasara ya Sh bilioni 230.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Meya Bukoba ang’ang’ania kiti
LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...
11 years ago
Habarileo04 May
Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa
PAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Viwavijeshi ang’ang’aniwa Uganda
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya ngoma za asili, Shaban Maganga ‘Viwavijeshi’ ameng’ang’aniwa nchini Uganda baada ya wenyeji wake kumzuia asirudi Tanzania mpaka amalize kucheza shoo alizopangiwa...