Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila ang’ang’ana mabehewa feki

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni taarifa ya kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki katika Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kusababisha hasara ya Sh bilioni 230.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Padri Mkatoliki ang’ang’aniwa kortini

KESI inayomkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa matunzo kwa mwanawe, juzi iliahirishwa tena kwa mara ya tatu baada ya mlalamikiwa kushindwa kufika mahakamani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wang’ang’ana kuandamana

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman MboweLICHA ya kutakiwa kufuata taratibu kabla ya kutimiza azma yao ya kuandamana nchi nzima, viongozi wa Chadema wa mikoa mbalimbali wamesisitiza kuendelea kuunga mkono dhamira ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe ya kuandamana na kugoma bila kikomo ili kulipinga Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viwavijeshi ang’ang’aniwa Uganda

MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya ngoma za asili, Shaban Maganga ‘Viwavijeshi’ ameng’ang’aniwa nchini Uganda baada ya wenyeji wake kumzuia asirudi Tanzania mpaka amalize kucheza shoo alizopangiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Masauni anavyo ng’ang’ana kuhodhi Jimbo la Kikwajuni

Visiwa vya Zanzibar vinakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa ni ukosefu wa ajira kwa vijana, uraibu wa dawa za kulevya, mzunguko mdogo wa fedha na ongezeko la watu ambalo halilingani na rasilimali zilizopo.

 

11 years ago

GPL

JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU

Stori: IMELDA MTEMA
Mwanadada Jacqueline Dustan ambaye ni msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus season II, ameonekana kung’ang’ania kuzaa na Mzungu kufuatia maelezo yake kwamba harudi Bongo mpaka atundikwe mimba na mtasha. Jacqueline Dustan. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini Thailand, Jack alisema uwepo wake nchini humo kwa muda mrefu anajilengesha kwa mwanaume wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani