Chadema wang’ang’ana kuandamana
LICHA ya kutakiwa kufuata taratibu kabla ya kutimiza azma yao ya kuandamana nchi nzima, viongozi wa Chadema wa mikoa mbalimbali wamesisitiza kuendelea kuunga mkono dhamira ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe ya kuandamana na kugoma bila kikomo ili kulipinga Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Chadema wang’ang’ania maandamano, polisi yaonya
10 years ago
Habarileo26 Jun
Kafulila ang’ang’ana mabehewa feki
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni taarifa ya kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki katika Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kusababisha hasara ya Sh bilioni 230.
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Watuhumiwa ugaidi wang’ang’aniwa
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Waliotimuliwa na Mwakyembe wang’ang’aniwa
SIKU moja baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kuwatimua wafanyakazi 13 kutoka wizara tatu tofauti, waliokuwa wakifanya kazi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mawaziri...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
11 years ago
Habarileo03 Jul
LHRC, TLS wang’ang’ania kesi ya Pinda
KITUO cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali kesi ya kikatiba waliyomfungulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili
WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.
11 years ago
Mwananchi22 May
Wang’ang’ania kuishi ndani ya hifadhi ya Taifa