Waliotimuliwa na Mwakyembe wang’ang’aniwa
SIKU moja baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kuwatimua wafanyakazi 13 kutoka wizara tatu tofauti, waliokuwa wakifanya kazi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mawaziri...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Watuhumiwa ugaidi wang’ang’aniwa
11 years ago
Habarileo29 Dec
Padri Mkatoliki ang’ang’aniwa kortini
KESI inayomkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa matunzo kwa mwanawe, juzi iliahirishwa tena kwa mara ya tatu baada ya mlalamikiwa kushindwa kufika mahakamani.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Viwavijeshi ang’ang’aniwa Uganda
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya ngoma za asili, Shaban Maganga ‘Viwavijeshi’ ameng’ang’aniwa nchini Uganda baada ya wenyeji wake kumzuia asirudi Tanzania mpaka amalize kucheza shoo alizopangiwa...
9 years ago
Habarileo29 Aug
Mgombea wa Chadema Moshi aendelea kung’ang’aniwa
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Isaac Kireti, amekata rufaa kwa Tume ya Uchaguzi (NEC) baada ya pingamizi alilokuwa amemuwekea mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Japhary Michael, kutupiliwa mbali na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo.
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Afrika inatarajia kunufaika vipi na 'kung'ang'aniwa' huko?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YgG3jVtvJ8sVPsLYdOZFGVD-vowUKB6Ix7cfpAH-o6gxxrQ2-3KLWihz2rAOgkFxq06oUNKz7ChkJRtOikN6sCi/DIDA.jpg?width=650)
DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE
10 years ago
Habarileo23 Sep
Chadema wang’ang’ana kuandamana
LICHA ya kutakiwa kufuata taratibu kabla ya kutimiza azma yao ya kuandamana nchi nzima, viongozi wa Chadema wa mikoa mbalimbali wamesisitiza kuendelea kuunga mkono dhamira ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe ya kuandamana na kugoma bila kikomo ili kulipinga Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...