Chadema wang’ang’ania maandamano, polisi yaonya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesisitiza kufanya maandamano kuanzia leo hadi Ijumaa wiki hii licha ya Polisi kuyapiga marufuku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili
WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.
11 years ago
Habarileo03 Jul
LHRC, TLS wang’ang’ania kesi ya Pinda
KITUO cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali kesi ya kikatiba waliyomfungulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
11 years ago
Mwananchi22 May
Wang’ang’ania kuishi ndani ya hifadhi ya Taifa
9 years ago
Habarileo22 Aug
Haki za Binadamu wang’ang’ania uadilifu wagombea wenye kashfa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutoa orodha ya viongozi wa umma wanaogombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu, ambao walishahojiwa na kuwekwa hatiani kutokana na maadili yao.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Chadema wang’ang’ana kuandamana
LICHA ya kutakiwa kufuata taratibu kabla ya kutimiza azma yao ya kuandamana nchi nzima, viongozi wa Chadema wa mikoa mbalimbali wamesisitiza kuendelea kuunga mkono dhamira ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe ya kuandamana na kugoma bila kikomo ili kulipinga Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
10 years ago
Mwananchi04 May
Chadema yamng’ang’ania JK kuhusu Uchaguzi Mkuu
9 years ago
Habarileo20 Dec
Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.