Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yamng’ang’ania JK kuhusu Uchaguzi Mkuu

>Licha ya Rais Jakaya Kikwete kusema hana mpango wa kuongeza muda na kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuonyesha wasiwasi wake kikieleza kuwa hakuna dalili za uchaguzi huo mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamng’ang’ania Bob Williamson

>Wakati mabingwa wa soka nchini, Yanga  wakimng’ang’ania kocha mkuu wa Gor Mahia ya Kenya,  Bob Williamson kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wao  mkuu, Ernie Brandts, timu hiyo mpaka sasa haijalipwa  fedha zake zilizotokana na ushindi wa mashabiki wake katika  mechi ya Nani Mtani Jembe Sh98, 938,400.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yamng'ang'ania Raheem Sterling

Kocha wa Liverpool ya England Brendan Rodgers, amesema Raheem Sterling hataondoka katika klabu hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam FC bado yamng’ang’ania Nyosso

Muda mfupi baada ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kumfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kwa kumdhalilisha mshambuliaji wa Azam FC, John Boko, timu hiyo yenye maskani yake Chamazi, Dar es Salaam imesema suala hilo wanalifuatilia kisheria zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ya Mapinduzi yamng’ang’ania Raza

>Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amesema kazi ya kupitia madeni ya kodi ya gawio la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) anayodaiwa Mfanyabiasha Mohamed Raza kwa muda wa miaka 16 itachukua miezi mitatu ili kubaini kiwango halisi anachodaiwa kupitia Kampuni ya Huduma katika Viwanja vya Ndege (ZAT).

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema wang’ang’ania maandamano, polisi yaonya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesisitiza kufanya maandamano kuanzia leo hadi Ijumaa wiki hii licha ya Polisi kuyapiga marufuku.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani