Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili
WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania