Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masauni anavyo ng’ang’ana kuhodhi Jimbo la Kikwajuni

Visiwa vya Zanzibar vinakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa ni ukosefu wa ajira kwa vijana, uraibu wa dawa za kulevya, mzunguko mdogo wa fedha na ongezeko la watu ambalo halilingani na rasilimali zilizopo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kafulila ang’ang’ana mabehewa feki

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni taarifa ya kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki katika Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kusababisha hasara ya Sh bilioni 230.

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKILISHI WA KIKWAJUNI MHE MAHMOUD ATOWA ELIMU YA KATIBA MPYA KWA WANANCHI WA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud Mussa akizungumza na Viongozi wa UWT wa Jimbo hilo kutokana na kuielewa Katiba Mpya iliyopendkezwa na kusoma baadhi ya Ibara hizo na kutowa ufafanuzi wake, mkutano huo umefanyika katika Tawi la CCM Kilimani. Mhe Mahmoud akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa UWT wa Jimbo la Kikwajuni na kuwataka kuisoma Katiba hiyo mpya iliopendekezwa na kutowa elimu juu ya Katiba hiyo kwa Wananchi wa Shehia zao.Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wang’ang’ana kuandamana

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman MboweLICHA ya kutakiwa kufuata taratibu kabla ya kutimiza azma yao ya kuandamana nchi nzima, viongozi wa Chadema wa mikoa mbalimbali wamesisitiza kuendelea kuunga mkono dhamira ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe ya kuandamana na kugoma bila kikomo ili kulipinga Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KUINUA VIPAJI VYA KUHIFADHI QURAN JIMBO LA KIKWAJUNI YANDAA MASHINDANO MADOGO YA KUHIFADHI QURAN

 M.C. wa shughuli  Ustaadh Khamis Ameir akisoma utaratibu wa mashindano madoga ya kuinua vipaji ya kuhifadhi Quran ya Jimbo la Kikwajuni yaliyofanyika uwanja wa Alabama Michenzani Mjini Zanzibar. Mwafunzi Ramla Khamsin Jafar wa madrasati Nurul-iman akionyesha jitihada zake katika mashindano ya kuhifadhi yaliyofanyika ya Jimbo la Kwahani.  Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa kina mashindano hayo. Jaji kiongozi Abushayth Daud Mohudhar akitoa matokeo ya mashindano hayo. Mgeni rasmin Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup

Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Muembeladu wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na Viongozi wa timu ya Muembeladu kuitoa timu yao kwa madai ya mchezaji wa timu ya Mkunazini kudaiwa kumpiga mpenzi wa timu hiyo.Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja

Kikosi cha timu ya Mwembeladu kilicho shindwa kumaliza mchezo wao wa mwisho na timu ya Mkunazini timu hii ilihitaji ushindi wa mabao 3--0 ili kuweza kusonga mbele ya Bonaza hilo kuingia nusu fainali, mchezo huo umemalizi kabla ya wakati wake zikiwa zimebaki dakika 4 mchezo kumalizika.  Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotinga Nusu Fainali  usiku wa kuamkia leo  katika viwanja vya Mnazi Mmoja na Timu ya Kikwajuni Juu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani