Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup
Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Muembeladu wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na Viongozi wa timu ya Muembeladu kuitoa timu yao kwa madai ya mchezaji wa timu ya Mkunazini kudaiwa kumpiga mpenzi wa timu hiyo.
Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2--0
10 years ago
VijimamboBONAZA MASAUNI CUP
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup
10 years ago
Michuzi14 Nov
BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP
![4](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/45.png)
10 years ago
MichuziUzinduzi wa Bonaza Kombe la Masauni Viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Bonanza la Masauni Cup lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
onaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lazidi kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka Zanzibar