Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja
Kikosi cha timu ya Mwembeladu kilicho shindwa kumaliza mchezo wao wa mwisho na timu ya Mkunazini timu hii ilihitaji ushindi wa mabao 3--0 ili kuweza kusonga mbele ya Bonaza hilo kuingia nusu fainali, mchezo huo umemalizi kabla ya wakati wake zikiwa zimebaki dakika 4 mchezo kumalizika. Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotinga Nusu Fainali usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja na Timu ya Kikwajuni Juu. Picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2--0
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya...
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja Usiku Huu
10 years ago
VijimamboBONAZA MASAUNI CUP
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup
Kocha Bausi akiwa na Kiongozi wa TAYI Adaya, wakifuatilia michuano...
10 years ago
Michuzi14 Nov
BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP
10 years ago
MichuziUzinduzi wa Bonaza Kombe la Masauni Viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Bonanza la Masauni Cup lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
onaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0