Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA KUINUA VIPAJI VYA KUHIFADHI QURAN JIMBO LA KIKWAJUNI YANDAA MASHINDANO MADOGO YA KUHIFADHI QURAN

 M.C. wa shughuli  Ustaadh Khamis Ameir akisoma utaratibu wa mashindano madoga ya kuinua vipaji ya kuhifadhi Quran ya Jimbo la Kikwajuni yaliyofanyika uwanja wa Alabama Michenzani Mjini Zanzibar. Mwafunzi Ramla Khamsin Jafar wa madrasati Nurul-iman akionyesha jitihada zake katika mashindano ya kuhifadhi yaliyofanyika ya Jimbo la Kwahani.  Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa kina mashindano hayo. Jaji kiongozi Abushayth Daud Mohudhar akitoa matokeo ya mashindano hayo. Mgeni rasmin Mbunge wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU KWA NJIA YA MTANDAO WAKABIDHIWA ZAWADI


MRATIBU wa mashindano ya Quran kwa njia ya Mtandao, Mohamed Abdallah (kulia) akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya Quran kwa wanawake, Aisha Faki Juma, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Quran Tukufu 2020, Zena Abubakar. (Picha na Muhidin Sufiani).
MGENI rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mashindano ya kuhifadhi Qur'aan Masjid Afraa Kidongo Chekundu

Mashindano makubwa ya kuhifadhi Qur'aan Afrika Mashariki yakiendelea Masjid AfraaUnaweza kuipata Live http://zctv.co.tz/online/

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu KWA MWAKA HUU WA 2014

 HOLY QURAN MEMORIZATION CHARITABLE TRUST-TANZANIAP.o.box :      66 Mkuranga- PwaniWebsite:      www.quran.or.tzPhone:         +255652805897                        + 255713981811

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN TUKUFU YA TAIFA 2014 - AISHA SURURU FOUNDATION

 Aisha Sururu Foundation inawataarifu fainali ya mashindano ya kuhifadhi Qur'an takatifu ya taifa ya mwaka 2014 yatafanyika Jumamosi hii ya tarehe 12/07/2014 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall ambapo vijana wanawake na waume walioshiriki katika mashindano hayo watapigania nafasi zao za kwanza mbele ya umma na wageni waalikwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Mwaka huu Aisha Sururu Foundation imeshirikisha mikoa 9 ya Tanzania ikiwemo visiwa vya Zanzibar na Pemba ambapo vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Kuwait News Agency

Kuwaiti charity graduates Quran memorizers in Tanzania


Kuwaiti charity graduates Quran memorizers in Tanzania
Kuwait News Agency
KUWAIT, Dec 27 (KUNA) -- A leading Kuwaiti charity has held a ceremony celebrating graduation of 50 male and female memorizers of the Holy Book the Quran in Tanzania. According to a statement by the Kuwaiti Embassy in Tanzania, Ambassador Jassem ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya tano ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya Tano ya kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Istiqaama,  iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaam, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku. (Picha na OMR).

2

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheki ya Sh. Milioni 3, mshindi...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO YA KUHIFADHI QUR-AN TUKUFU YALIYOANDALIWA NA TAASISI YA ISTIQAAMA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya Tano ya kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Istiqaama, iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaam, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheki ya Sh. Milioni 3, mshindi wa kwanza wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani