JK ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili rushwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Buhari amteua mkuu wa polisi kukabili rushwa
10 years ago
Habarileo18 Jan
Watoa haki washauriwa kukabili rushwa ya ngono
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Othman Chande amewataka majaji, mahakimu na wasaidizi wa sheria, kufuata maadili ya kazi hiyo, pamoja na kuongoza mapambano dhidi ya rushwa hasa ya ngono ambayo inaonekana kukithiri.
11 years ago
Habarileo04 May
JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.
11 years ago
Habarileo21 Mar
Kingunge ataka katiba yenye haki za kiuchumi
MWANASIASA nguli nchini, Kingunge Ngombale-Mwirlu ameshauri kuandikwe katiba yenye haki za kiuchumi ili kuleta maendeleo ya wananchi. Kingunge alieleza hayo wakati akichangia kwenye semina ya wajumbe wa bunge hilo juu ya uzoefu wa Kenya kwenye kupata katiba mpya ulioelezwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu wa nchi hiyo aliyekaa madarakani kwa miaka 21 na kushiriki kwa karibu katika uandishi wa katiba mpya, Amos Wako.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-avBXUBeVUoo/VXqgdqvdtgI/AAAAAAAHe4E/zr_qDLlFgtY/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-avBXUBeVUoo/VXqgdqvdtgI/AAAAAAAHe4E/zr_qDLlFgtY/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-9BSe6kyzm8I/VXqgdkk9p7I/AAAAAAAHe4M/w6Dwihi9k2s/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
11 years ago
Habarileo01 Mar
Chenge ataka semina maeneo yenye hoja zenye mgongano
KUTOKANA na mgongano uliojitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakati wa kujadili Rasimu ya Kanuni, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge amependekeza kabla ya kujadili Rasimu ya Katiba, wajumbe wapewe semina kujadili maeneo yenye hoja zenye mgongano.
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_0181.jpg)
UNIC YAFANYA MAFUNZO YENYE TIJA YA UJASIRIMALI PEMBA
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Muhongo ataka wawekezaji kuepuka mikataba ya rushwa
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameyataka mashirika yanayotaka kuwekezaji kwenye Sekta ya Gesi na Mafuta nchini, yajiepushe kusaini mikataba ya rushwa ili kuepuka migogoro ya kimaslahi. Muhongo...
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Hoseah ataka mahakama ya makosa ya rushwa pekee
Na Pendo Fundisha, Mbeya
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amesema kitendo cha mwajiri kupewa nguvu ya kushughulikia makosa ya jinai kwa watumishi wa umma, kimekuwa kikidhoofisha mapambano dhidi ya rushwa.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni mjini hapa, Dk. Hoseah, alisema uamuzi huo umekuwa ukidhalilisha dhana nzima ya uadilifu na uwajibikaji.
Alisema yeye binafsi hakubaliani na suala hilo, na kwamba ili kuondokana nalo, ni...