Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Dkt. Silvia Materu akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa  Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini,  Tarehe 12 Juni, 2015.  Mwezeshaji kutoka Wizara ya maji, Diana Kimbute akifafanua umuhimu wa vifaa vya kisasa vya kupima viwango vya maji na kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AMEWATAKA WATAALAMU KUFANYA TATHMINI YA MAZINGIRA KUJUA MADHARA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akitoa maelekezo alipotembelea eneo la bahari kusikiliza na kutatua mgogoro uliotokana na changamoto za kimazingira kati ya wamiliki wa hoteli ya Wellworth na White Sands jijini Dar es Salaam wakituhimiana kujenga ukuta unasababisha mmonyoko wa udongo na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

5 years ago

Habarileo

Mradi kukabili mabadiliko ya tabianchi kunufaisha shule

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema katika jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake, ofisi yake imeandaa mradi utakaonufaisha shule za msingi katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI ZA VIJIJI ZATAKIWA KUHUSISHA MAAFA YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA MIPANGO YA MAENDELEO

Mshiriki wa Mafunzo  ya  utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini akichangia wakati wa mafunzo hayo kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Makiba, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi huo , Tarehe 13 Juni, 2015. Mratibu mradi kitaifa wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, Alfei Daniel akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame. Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro...

 

10 years ago

Michuzi

Mafunzo ya uwezeshaji kuhusu mabadiliko ya Tabianchi na athari zake yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mabadiliko ya Tabianchi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Pius Yanda (wa pili kushoto) akifungua Mafunzo ya uwezeshaji kuhusu mabadiliko ya Tabianchi na athari zake kwa walimu wa somo la Jiografia kutoka Manispaa ya Kinondoni. Kushoto ni kiongozi wa walimu wanaopata mafunzo Mwl. Nesta Mwamfupe. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Walimu wa Shule za Msingi Manispaa ya Kinondoni wakisikiliza muwezeshaji wakati wa ...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4, 2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam.Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiiza Mkufunzi wa masuala ya kujikinga na dharura ya moto kutoka Chuo cha Zima moto Bw. Rajabu Mwangalamo wakati wa Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa yaliyofanyika Baraza la Maaskofu Kurasini Dar es Salaam Juni 4, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kukabili tatizo la tabianchi

SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabadiliko ya tabianchi kuathiri umeme

MABADILIKO ya tabianchi yametajwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani