Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kukabili tatizo la tabianchi

SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

5 years ago

Habarileo

Mradi kukabili mabadiliko ya tabianchi kunufaisha shule

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema katika jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake, ofisi yake imeandaa mradi utakaonufaisha shule za msingi katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Dkt. Silvia Materu akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa  Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini,  Tarehe 12 Juni, 2015.  Mwezeshaji kutoka Wizara ya maji, Diana Kimbute akifafanua umuhimu wa vifaa vya kisasa vya kupima viwango vya maji na kutoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kukabili tatizo la kutopata mimba

Kwa upande wa mwanamke zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha awe na tatizo la kutopata ujauzito.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yahitaji sera, mikakati madhubuti katika kukabili tatizo la umeme.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

 

 

 

Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani WWF limesema kuna haja kwa Tanzania kuwa na sera na mikakati ya kufikisha nishati ya umeme kwa asilimia 35 ya watanzania ambao bado kufikiwa na nishati hiyo bila kuathiri mazingira.

 

WWF imesema uharibifu wa mazingira umechangia kwa kiasi kikukbwa mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mafuriko na kwamba bado jitihada za ziada zinahitajika za kukabiliana na mabadiliko hayo.

 

Asilimia 65 ya watanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili Ebola

SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI ZA VIJIJI ZATAKIWA KUHUSISHA MAAFA YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA MIPANGO YA MAENDELEO

Mshiriki wa Mafunzo  ya  utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini akichangia wakati wa mafunzo hayo kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Makiba, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi huo , Tarehe 13 Juni, 2015. Mratibu mradi kitaifa wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, Alfei Daniel akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola

SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani