Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi kukabili mabadiliko ya tabianchi kunufaisha shule

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema katika jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake, ofisi yake imeandaa mradi utakaonufaisha shule za msingi katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

10 years ago

Michuzi

ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Dkt. Silvia Materu akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa  Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini,  Tarehe 12 Juni, 2015.  Mwezeshaji kutoka Wizara ya maji, Diana Kimbute akifafanua umuhimu wa vifaa vya kisasa vya kupima viwango vya maji na kutoa...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma

ALVARO KUPANDA MTI-2

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNDP yakabidhi mradi wa dola za marekani 150,000 wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kijiji cha Chamwino

IMG_9773

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.

Na Modewjiblog team, Chamwino

KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Mradi huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maji SBL kunufaisha Temeke

SEKTA ya afya nchini imezidi kupata msukumo baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji katika zahanati ya Mkamba, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam. Mradi huo uliozinduliwa jana ulifanikiwa baada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa ACRA kunufaisha Wazanzibari 15,000

ZAIDI ya watu 15,000 watafaidika na mradi wa pamoja baina ya Jumuiya ya Hifadhi ya Mji Mkongwe na Jumuiya ya ACRA utakaoanza hivi karibuni ili kuendeleza Mji Mkongwe.  Hayo yalibainishwa na Mohammed...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kukabili tatizo la tabianchi

SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtandao wa Halotel kunufaisha shule 300,000

Shule 300,000 nchini zinatarajiwa kupata huduma ya intaneti bure iwapo zitatumia mtandao mpya wa simu wa Halotel.

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani