Tanzania yahitaji sera, mikakati madhubuti katika kukabili tatizo la umeme.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani WWF limesema kuna haja kwa Tanzania kuwa na sera na mikakati ya kufikisha nishati ya umeme kwa asilimia 35 ya watanzania ambao bado kufikiwa na nishati hiyo bila kuathiri mazingira.
WWF imesema uharibifu wa mazingira umechangia kwa kiasi kikukbwa mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mafuriko na kwamba bado jitihada za ziada zinahitajika za kukabiliana na mabadiliko hayo.
Asilimia 65 ya watanzania...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Nov
Sera madhubuti kuiondoa nchi katika umasikini
SERIKALI imetakiwa kutunga sera madhubuti za matumizi ya rasilimali ili kuondokana na tatizo la umasikini kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi ili kufikia maendeleo ya milenia kama ilivyopangwa.
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Sera madhubuti ya gesi kuinyayua Tanzania
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili.
Na Marco Mipawa, Accra- Ghana
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza katika maendeleo ya uchumi iwapo itaweka sera madhubuti za uzalishaji wa Gesi na kuwa na viongozi wenye dhamira dhabiti ya kuiendeleza nchi na kuboresha maisha ya watu.
Haya yamebainishwa na Meneja wa Redio Kahama FM Marco Mipawa leo wakati akiendelea na ziara ya mafunzo nchini Ghana...
10 years ago
GPL![](https://dub123.mail.live.com/Handlers/ImageProxy.mvc?bicild=&canary=hc29iaFoUs7ntYn4h1jkUT1XxdzegWvps3z6qTVfdGA%3d0&url=http%3a%2f%2fdewjiblog.com%2fwp-content%2fuploads%2f2014%2f12%2fMipawa-to-Ghana.jpg&width=650)
SERA MADHUBUTI YA GESI KUINYAYUA TANZANIA
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao
11 years ago
Mwananchi01 May
Tanzania: Taifa lenye mikakati mizuri, tatizo ni utekelezaji
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Taarifa kuhusu tatizo la umeme katika uwanja wa ndege wa Mwanza
Kufuatia tatizo la kiufundi la umeme katika uwanja wa Ndege wa Mwanza ambalo lilisababisha ndege za kampuni ya Fastjet kukatisha safari zake zote za usiku kuepuka kuhatarisha maisha ya abiria na wafanyakazi, tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa ushirikiano wao na uvumilivu waliotuonyesha na tunawaomba wawasiliane nasi ili kupata maelezo zaidi juu ya safari zao.
Wakati mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania ikiendelea kufanya juhudi za kutatua tatizo hili, safari zetu za usiku za...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Marekani na mikakati kukabili machafuko
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Mratibu wa Elimu Kigamboni; Sera mpya ya elimu yahitaji maandalizi kwanza
Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Angelina Ngasazwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi madawati 50 na majengo mawili yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO katika shule ya msingi Kibugumo iliyopo Kigamboni jijini Dar hivi karibuni.
Na modewji blog team
Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014, iliyozinduliwa na Rais Dk. Jakaya Kikwete, Februari 13 mwaka huu, wadau mbalimbali wameanza kuonyesha wasiwasi wao juu...