SERA MADHUBUTI YA GESI KUINYAYUA TANZANIA
![](https://dub123.mail.live.com/Handlers/ImageProxy.mvc?bicild=&canary=hc29iaFoUs7ntYn4h1jkUT1XxdzegWvps3z6qTVfdGA%3d0&url=http%3a%2f%2fdewjiblog.com%2fwp-content%2fuploads%2f2014%2f12%2fMipawa-to-Ghana.jpg&width=650)
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili. Na Marco Mipawa, Accra- Ghana Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza katika maendeleo ya uchumi iwapo itaweka sera madhubuti za uzalishaji wa Gesi na kuwa na viongozi wenye dhamira dhabiti ya kuiendeleza nchi na kuboresha maisha ya watu. Haya yamebainishwa na Meneja wa Redio Kahama FM Marco...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Sera madhubuti ya gesi kuinyayua Tanzania
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili.
Na Marco Mipawa, Accra- Ghana
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza katika maendeleo ya uchumi iwapo itaweka sera madhubuti za uzalishaji wa Gesi na kuwa na viongozi wenye dhamira dhabiti ya kuiendeleza nchi na kuboresha maisha ya watu.
Haya yamebainishwa na Meneja wa Redio Kahama FM Marco Mipawa leo wakati akiendelea na ziara ya mafunzo nchini Ghana...
10 years ago
StarTV10 Feb
Tanzania yahitaji sera, mikakati madhubuti katika kukabili tatizo la umeme.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani WWF limesema kuna haja kwa Tanzania kuwa na sera na mikakati ya kufikisha nishati ya umeme kwa asilimia 35 ya watanzania ambao bado kufikiwa na nishati hiyo bila kuathiri mazingira.
WWF imesema uharibifu wa mazingira umechangia kwa kiasi kikukbwa mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mafuriko na kwamba bado jitihada za ziada zinahitajika za kukabiliana na mabadiliko hayo.
Asilimia 65 ya watanzania...
10 years ago
Habarileo30 Nov
Sera madhubuti kuiondoa nchi katika umasikini
SERIKALI imetakiwa kutunga sera madhubuti za matumizi ya rasilimali ili kuondokana na tatizo la umasikini kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi ili kufikia maendeleo ya milenia kama ilivyopangwa.
10 years ago
Habarileo04 Oct
‘Mipango madhubuti utajiri wa gesi utaepusha laana zake’
WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRbgddOQGM7yGd2ueVD62oAk0mgzCVFX6r6kRhdna3XqLNaDWKjlmgX72Otuc0c1-TgAJUZ4t6RGgwyKI0h1AKQ/gasi.jpg)
MKATABA WA GESI UMEVUJA: TANZANIA KUPOTEZA SHS 1.6 TRILIONI KWA MWAKA
10 years ago
Habarileo15 Aug
Mkapa: Sera ya gesi wapewe wataalamu
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka suala la utungaji sera za nchi katika mafuta na gesi, washirikishwe zaidi wanasayansi na wataalamu wa jiolojia badala ya kuachiwa wanasiasa. Amesema wataalamu hao wana mchango mkubwa na wamefanya utafiti mbalimbali, hivyo wanapaswa wasipuuzwe.
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
‘Sera ya gesi, mafuta iwekwe wazi’
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametaka uwazi katika suala la gesi na mafuta. Balozi Sefue pia aliwataka Watanzania wajipange, wajitume kuhakikisha sekta ya gesi na mafuta itakapoanza kazi hawatakuwa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
‘Sera ya gesi iwe wazi kwa wananchi’
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amewataka wajumbe kutoka taasisi mbalimbali kuwa wawazi kwa wananchi katika utungaji wa sera ya upatikanaji wa gesi asilia na petroli. Prof....
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2z3HhgT0EWg/U5iY62mT9OI/AAAAAAAFp0U/LZLD2Rg4aZA/s72-c/unnamed+(77).jpg)
WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU YA SERA YA PETROLI
![](http://1.bp.blogspot.com/-2z3HhgT0EWg/U5iY62mT9OI/AAAAAAAFp0U/LZLD2Rg4aZA/s1600/unnamed+(77).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hrGBCz-EHV8/U5iY9Q-hfsI/AAAAAAAFp0c/4QLXH1nTkwE/s1600/unnamed+(76).jpg)