Mkapa: Sera ya gesi wapewe wataalamu
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka suala la utungaji sera za nchi katika mafuta na gesi, washirikishwe zaidi wanasayansi na wataalamu wa jiolojia badala ya kuachiwa wanasiasa. Amesema wataalamu hao wana mchango mkubwa na wamefanya utafiti mbalimbali, hivyo wanapaswa wasipuuzwe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 May
Mkapa ‘awapigia debe’ wataalamu wazawa
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameitaka Wizara ya Ujenzi kuweka mazingira mazuri ya kuwawezesha wataalamu wa ndani kuweza kupata fursa za kushiriki katika ujenzi wa miradi mikubwa ili kuiongezea nchi mapato.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi15 May
Wataalamu: Tanzania iwe na sera maalumu kudhibiti matumizi ya pombe
11 years ago
Habarileo13 Aug
Tanzania kuongoza Afrika wataalamu wa gesi
UTEKELEZAJI wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu wazawa wa mafuta na gesi.
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Tanzania yasaidiwa kusomesha wataalamu wa gesi
UMOJA wa Ulaya umeisaidia Serikali ya Tanzania katika sekta ya elimu kwa lengo la kupata wataalamu katika sekta ya gesi na petroli ambao kwa sasa wapo wachache. Waziri wa Nishati...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Mzumbe Dar kusomesha wataalamu gesi, mafuta
CHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika ya Kusini, kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi...
9 years ago
MichuziWataalamu wa Gesi wametakiwa kujifunza kwa Mkandarasi
11 years ago
Habarileo21 Dec
Chuo Kikuu Mzumbe kufunda wataalamu mafuta na gesi
CHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, cha Afrika Kusini kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi mikubwa ya sekta za madini, gesi na mafuta.