Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataalamu wa Gesi wametakiwa kujifunza kwa Mkandarasi

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (kulia) akimsikiliza Meneja wa Kampuni ya GASCO, Mhandisi Mhandisi Kapuulya Musomba (katikati). Wa Kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Paul Masanja. Kituo cha Kuchakata Gesi Asilia cha Madimba Baadhi ya mitambo kwenye Kituo cha kuchakata Gesi Asilia cha Madimba. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (kushoto) na Naibu wake, Mhandisi Paul Masanja mara baada ya kukagua Kituo cha Kuchakata Gesi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.

 

10 years ago

Habarileo

Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi

Inawezekana hofu ya Watanzania kuhusu udhaifu wa mikataba ya gesi asilia inachochewa na idadi ndogo ya wataalamu, mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika taaluma hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa: Sera ya gesi wapewe wataalamu

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka suala la utungaji sera za nchi katika mafuta na gesi, washirikishwe zaidi wanasayansi na wataalamu wa jiolojia badala ya kuachiwa wanasiasa. Amesema wataalamu hao wana mchango mkubwa na wamefanya utafiti mbalimbali, hivyo wanapaswa wasipuuzwe.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania kuongoza Afrika wataalamu wa gesi

UTEKELEZAJI wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu wazawa wa mafuta na gesi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yasaidiwa kusomesha wataalamu wa gesi

UMOJA wa Ulaya umeisaidia Serikali ya Tanzania katika sekta ya elimu kwa lengo la kupata wataalamu katika sekta ya gesi na petroli ambao kwa sasa wapo wachache. Waziri wa Nishati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzumbe Dar kusomesha wataalamu gesi, mafuta

CHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika ya Kusini, kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kufunda wataalamu mafuta na gesi

Prof. Joseph KuzilwaCHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, cha Afrika Kusini kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi mikubwa ya sekta za madini, gesi na mafuta.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wametakiwa kukopa na kurudisha marejesho kwa wakati

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mh.Norman Sigala King aliyesimama akiongea na Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana (hawapo pichani) ya kujikomboa kiuchumi yanayotolewa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,wa kwanza kutoka kushoto ni KaimuMkurugenzi.Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Bi. Ester Riwa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo aliyesimama akitoa mada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani