Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuongoza Afrika wataalamu wa gesi

UTEKELEZAJI wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu wazawa wa mafuta na gesi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yasaidiwa kusomesha wataalamu wa gesi

UMOJA wa Ulaya umeisaidia Serikali ya Tanzania katika sekta ya elimu kwa lengo la kupata wataalamu katika sekta ya gesi na petroli ambao kwa sasa wapo wachache. Waziri wa Nishati...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania Kuongoza Nchi za Afrika katika maboresho ya utoaji wa haki za watuhumiwa na mahabusu

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Nabor Assey akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa Miongozo ya Luanda inayohusu ukamataji na ushikiliaji wa watuhumiwa kabla ya kufunguliwa mashtaka itakayosaidia kupunguza mzigo kwa seriikali katika uendeshaji wa mahabusu na magereza yenye msongamano mwingi wa watuhumiwa na wafungwa, wakati wa Mkutano leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuongoza nchi za Afrika ktika maboresho ya utoaji wa haki za watuhumiwa na mahabusu

NABO ASSEY

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Nabor Assey akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa Miongozo ya Luanda inayohusu ukamataji na ushikiliaji wa watuhumiwa kabla ya kufunguliwa mashtaka itakayosaidia kupunguza mzigo kwa seriikali katika uendeshaji wa mahabusu na magereza yenye msongamano mwingi wa watuhumiwa na wafungwa, wakati wa Mkutano leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...

 

10 years ago

Mwananchi

Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi

Inawezekana hofu ya Watanzania kuhusu udhaifu wa mikataba ya gesi asilia inachochewa na idadi ndogo ya wataalamu, mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika taaluma hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa: Sera ya gesi wapewe wataalamu

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka suala la utungaji sera za nchi katika mafuta na gesi, washirikishwe zaidi wanasayansi na wataalamu wa jiolojia badala ya kuachiwa wanasiasa. Amesema wataalamu hao wana mchango mkubwa na wamefanya utafiti mbalimbali, hivyo wanapaswa wasipuuzwe.

 

9 years ago

Michuzi

Wataalamu wa Gesi wametakiwa kujifunza kwa Mkandarasi

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (kulia) akimsikiliza Meneja wa Kampuni ya GASCO, Mhandisi Mhandisi Kapuulya Musomba (katikati). Wa Kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Paul Masanja. Kituo cha Kuchakata Gesi Asilia cha Madimba Baadhi ya mitambo kwenye Kituo cha kuchakata Gesi Asilia cha Madimba. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (kushoto) na Naibu wake, Mhandisi Paul Masanja mara baada ya kukagua Kituo cha Kuchakata Gesi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzumbe Dar kusomesha wataalamu gesi, mafuta

CHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika ya Kusini, kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi...

 

11 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo kuongoza kongamano la mafuta na gesi Ujerumani

Na Greyson Mwase, Ujerumani
Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano litakalofanyika kesho Berlin nchini Ujerumani ambapo atawasilisha mada kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi.
Kongamano hilo litakaloshirikisha wasomi mbalimbali litaenda sambamba na maonesho yatakayooneshwa na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini kama moja ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kufunda wataalamu mafuta na gesi

Prof. Joseph KuzilwaCHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, cha Afrika Kusini kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi mikubwa ya sekta za madini, gesi na mafuta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani