Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo Kikuu Mzumbe kufunda wataalamu mafuta na gesi

Prof. Joseph KuzilwaCHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, cha Afrika Kusini kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi mikubwa ya sekta za madini, gesi na mafuta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mzumbe Dar kusomesha wataalamu gesi, mafuta

CHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika ya Kusini, kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi...

 

10 years ago

Michuzi

BG TANZANIA KUZINDUA UDHAMINI WA SHAHADA YA UZAMILI YA SAYANSI YA MAFUTA NA GESI - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

BG Tanzania imetangaza  kutoa udhamini kwa wanafunzi 13 wa shahada ya uzamili  ya sayansi ya mafuta na gesi (MSc. in Petroleum Geology) itakayotolewa katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Idara ya  Jiolojia  kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Udhamini huu utahusisha malipo ya gharama za ada,  vitabu, pesa ya kijikimu na utafiti kwa muda wa miezi 18.
Katika hafla ya  uzinduzi huu, Mgeni rasimi alikuwa  Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.  Mizengo Kayanza Pinda. Wageni wengine walio...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi

UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.

 

10 years ago

Michuzi

nondozzz chuo kikuu Mzumbe mjini morogoro

 Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mstaafu Barnabas Samatta akimtunuku shahada ya uzamivu (Phd) mmoja wa wahitimu, Joseph Sangau, katika mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.  Kushoto ni Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Josephat Itika.  Sehemu ya wahitimu wa mahafali ya 13 ya chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika katika kampasi kuu ya chuo hicho mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utawala na Fedha, Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro wamesema wameridhishwa na mwenendo mzima wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA CHUO KIKUU MZUMBE

RAIS  Jakaya Kikwete, akiwa  na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoani Morogoro, baada ya kuwahutubia chuoni hapo, juzi. (Picha zote na Ikulu).

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo la mihadhara la Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro akisaidiwa na uongozi wa chuo hicho alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya picha yake ya...

 

10 years ago

Michuzi

wadau hassan na Emmanuel walamba nondozzzz Chuo Kikuu Mzumbe

Wadau wakipozi  Hassan  Kindole (kulia) na Emmanuel Gasper    baada ya kula nondozzzz zao katika mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro Ijumaa. Wadau wamelamba nomndozzz za  shahada ya menejimenti ya Rasilimali witu (Bachelor of Human Resource Management) 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani