Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo la mihadhara la Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro akisaidiwa na uongozi wa chuo hicho alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya picha yake ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25,… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DOREEN PAMBE AKAMATA NONDOZ YA SHERIA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

\Doreen Pambe katika pozi siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 siku alipokamata Nondo ya sheria (LLB) Chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.Doreen Pambe katika picha ya pamoja na baba yake mzee Pambe siku alipokamata Nondo ya Sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.Doreen Pambe katika picha na mama na baba.Doreen Pambe akipata picha ya upendeleo baada ya kukamata nondo ya sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.Doreen Pambe akiwa na wahitimu wenzake katika picha ya...

 

11 years ago

GPL

MARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE‏

Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.…

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU MZUMBE WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE NA WANAFUNZI, WASICHANA WAASWA KUSOMA MASOMO YANAYO TUMIA RASILIMALI ZAIDI


CHUO kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam wamesheherekea siku ya Mwanamke Dunia kwa Kuzungumza yapasayo mtoto wa kike na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Hananasif jijini Dar es Salaam leo.
Wanafunzi hao wameaswa kusoma masomo ambayo hayatumii watu wengi na kusoma masomo ambayo yanatumia rasilimali ili iwe rahisi kuajiliwa na kujiajili wenyewe.
Hayo ameyasema Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dkt. Godberther Kinyondo jijini Dar es Salaam leo wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)



Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge


Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi

UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani