MKATABA WA GESI UMEVUJA: TANZANIA KUPOTEZA SHS 1.6 TRILIONI KWA MWAKA
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRbgddOQGM7yGd2ueVD62oAk0mgzCVFX6r6kRhdna3XqLNaDWKjlmgX72Otuc0c1-TgAJUZ4t6RGgwyKI0h1AKQ/gasi.jpg)
 -Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu  Zitto Kabwe, Mb Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka
-Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
Zitto Kabwe, Mb
Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf).Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii, habari zake zimekuwa zinazimwa na hivyo kukosa kabisa mjadala mpana kitaifa na hasa kwa...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB06 Jul
Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka
- Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
Zitto Kabwe, Mb
Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Tanzania kupoteza Sh1.6 trilioni za gesi
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkuya-30April2015(1).jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jul
MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?
Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, Shirika la TPDC limetoa maelezo yake. Sio mara moja, sasa ni mara ya tatu. Kimsingi TPDC wanasema wachambuzi waliochambua nyongeza hiyo ya Mkataba hawana uelewa wa mambo haya na...
10 years ago
Habarileo24 Jan
Bandari kuingiza mapato Sh trilioni 1 kwa mwaka
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande amesema bandari hiyo ina uwezo wa kuingiza kipato kinachofikia Sh trilioni moja kwa mwaka, kama baadhi ya vikwazo vitashughulikiwa.
10 years ago
Habarileo09 Jan
Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-
MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.
10 years ago
GPL![](https://dub123.mail.live.com/Handlers/ImageProxy.mvc?bicild=&canary=hc29iaFoUs7ntYn4h1jkUT1XxdzegWvps3z6qTVfdGA%3d0&url=http%3a%2f%2fdewjiblog.com%2fwp-content%2fuploads%2f2014%2f12%2fMipawa-to-Ghana.jpg&width=650)
SERA MADHUBUTI YA GESI KUINYAYUA TANZANIA
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA MAFUTA NA GESI
Akiongea katika mkutano wa mwaka wa GE Oil & Gas, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (MB) aliwaalika wawekezaji wakubwa kutoka pande zote za dunia kutembelea Tanzania na kuona nafasi za uwekezaji zilizopo.
Mkutano huo uliofanyika Florence, Italy uliwakutanisha wadau...