Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bandari kuingiza mapato Sh trilioni 1 kwa mwaka

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande akijibu baadhi ya hoja zilizokuwa zikiibuliwa na wabunge wakati wa kikao cha kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mamlaka hiyo.MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande amesema bandari hiyo ina uwezo wa kuingiza kipato kinachofikia Sh trilioni moja kwa mwaka, kama baadhi ya vikwazo vitashughulikiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.

Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.

Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.

Waziri wa Fedha, Saada Salum...

 

11 years ago

Mwananchi

RC ashangaa mkaa kuingiza mapato

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameishangaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuweka ushuru wa mkaa kama eneo la ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutaka biashara hiyo ikome kwa sababu madhara yake ni makubwa katika uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magadi soda kuingiza bil. 480/- kwa mwaka

SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC) limegudua kiasi kikubwa cha madini ya magadi soda katika Bonde la Engaruka, Wilaya ya Monduli, Arusha. Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa NDC, Abel Ngapemba,...

 

11 years ago

Michuzi

BRN kuiongezea Serikali mapato mapya ya 3 trilioni

Wakati Serikali ikiwa katika jitihada za kuhakikisha kuwa inajiongezea mapato ili kuweza kuwahudumia vyema wananchi wake, Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) utasaidia kuongeza takribani Sh. trilioni 3.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Ukusanyaji Fedha kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Lawrence Mafuru alipohojiwa katika kipindi cha Makutano Show kinachorushwa na Radio Magic FM.
PDB ni kitengo kipya kilichoanzishwa chini ya Rais...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu hali ya vurugu  zinazoendelea Mtwara katika sakata la mradi  Gesi asilia kuja Dar es Salaam. Picha na Venance Nestory

-Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

 Zitto Kabwe, Mb

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf).Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii, habari zake zimekuwa zinazimwa na hivyo kukosa kabisa mjadala mpana kitaifa na hasa kwa...

 

11 years ago

GPL

MKATABA WA GESI UMEVUJA: TANZANIA KUPOTEZA SHS 1.6 TRILIONI KWA MWAKA‏

 -Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu  Zitto Kabwe, Mb Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (…

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne.Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Lupembe, Mhe. Joram Ismael Hongoli, aliyetaka kujua sababu za Serikali kutoweka utaratibu wa kutowatoza kodi wastaafu ambao biashara zao hazizidi...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MPANGO AKIWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADILIO YA MAPATO KWA MWAKA 2020/21





1.0 TANGULIZI






1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2020/21, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2019/20 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu saba (7)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani